Duuh ahsante kwa kunijulisha
Dramania nilishawahi kutumia, inanikera vile vipande vipandePia iangazie dramania nayo inafanya kazi siku hizi hasa ukiwa sehemu yenye network nzuri na inakula mb chache.
Hii ni njia nzuri piaNilinunua ya 32gb ila nikakuta ina 29.72 gb sio mbaya bado inasaidia
Kwenye simu nilikuta Phoenix browser naitumia pia kuvutia movies,uc mini(hii kwangu ipo fasta sana) UC browser(hii siku hizi majanga inakwama kwama ila naenda nayo hivyo hivyo)
Zaman Phoenix ilikua inavuta hata saba ila kwa sasa ni episode nne tu. UC mini inavuta episode hata 20(nimeset sita sita kwa wakati mmoja) UC browser nimeset sita pia kulingana na siku inaweza vuta episode 8. Hapo ni kwa 3G.
Dramania nilishawahi kutumia, inanikera vile vipande vipande
Huyo ni wa kumvumilia tu!Daaah nimechek six flying dragons numebakisha kama episodes 3 naanza ona uvivu malizia.....huyu kijana bang won mbona kawa katili ivi asee....anauwa kila mutu bwana.....[emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Duh!Mimi nilifika mpaka 32 nikaacha
Yes ni nzuri ila mimi ilinichosha tu...Duh!
Kuna mengi sana ya kujifunza humo hasa masuala ya kisiasa.
Izuri wa UC browser(mini) huitaji ku-rename inapakua episode na Title yake original. tofauti na hizo app zingine.Nilinunua ya 32gb ila nikakuta ina 29.72 gb sio mbaya bado inasaidia
Kwenye simu nilikuta Phoenix browser naitumia pia kuvutia movies,uc mini(hii kwangu ipo fasta sana) UC browser(hii siku hizi majanga inakwama kwama ila naenda nayo hivyo hivyo)
Zaman Phoenix ilikua inavuta hata saba ila kwa sasa ni episode nne tu. UC mini inavuta episode hata 20(nimeset sita sita kwa wakati mmoja) UC browser nimeset sita pia kulingana na siku inaweza vuta episode 8. Hapo ni kwa 3G.
Izuri wa UC browser(mini) huitaji ku-rename inapakua episode na Title yake original. tofauti na hizo app zingine.
Hapana, kwangu inaleta full Title ndio maana huwa naipenda tofauti na hizo zingine, huleta mijinamba miingi.Hee mbona kwangu haifanyi hivyo inaleta namba namba tele inabidi kuandika kwenye karatasi namba za kila episode.
DowntownGuy hapo kwenye "The empress ki" nakuunga mkono hata me hiyo ndio best drama yangu kwa upande wa historical drama inaonekana me na wewe tuna share taste nashangaa hapa Kuna watu hawaikubali Kama Numbisa na mwenzake Daemusin Kuna zingine ulizotaja sijacheki ngojea nikazichekiCurrently naangalia Kill me heal me, Backstreet rookie, The royal Gambler na Strong woman Do Bong Soon.
Top 3 ya drama ninazozikubali:
1. Empress Ki, hii ni moja kati ya drama niliyoangalia mwanzo hadi mwisho bila kupepesa macho sababu ya kuwa na mpangalio mzuri wa matukio. Pia characters wamevaa uhusika vizuri sana kiufupi wamezitendea haki nafasi walizocheza wakiongozwa na bi dada Ha ji won pamoja na mtaalamu Ji Chang Wook bila kumsahau mtaalam Wang Yu. Hii hata niirudie mara 100 siwezi ichoka.
2. The land of the wind/ The Kingdom of the wind. Hii ilikua all time favourite drama yangu kabla ya kuangalia Empress Ki. Pia hii ni drama yangu ya pili kuitazama ya kwanza ni Jumong na ndio iliyopelekea mimi kuwa mlevi wa hii burudani adhimu ya wakorea. Kwenye hii drama nimependa jinsi walivyoonesha maisha ya mwanzoni kabisa ya nguli Daemusin Muhyul wa Goguryeo pamoja na baba yake Yuri. Hii naikubali zaidi hata ya Jumong yaani kwenye hii drama Song il guk alitisha.
3. Hotel Del luna. Hii nimeimaliza wiki moja iliyopita. Binafsi mimi ni mpenzi wa movies, series na drama za adventure, fantasy au thriller pia napenda drama zenye story yenye kuumiza kichwa kama Kill me heal me na King Eternal Monarch.
Kwenye hii drama kilichonivutia zaidi ni story yake inayomuelezea bi dada Manweol mmiliki wa guest house of the moon na tragedy iliotokea hapo zamani kati yake na Chung Myung iliyopelekea yeye kuwa tied down kwenye Guest house of the moon kwa takribami miaka 1000. Ndani ya hii drama utamuona mtaalam Ku Chan Song pamoja na wa wafanyakazi wengine wa Guest house of the moon. Pia plot twist kati ya Chung Myung na Manweol ilinivutia zaidi pia ilinisikitisha but all in all nilipenda jinsi ilivoisha japo hawakumtendea haki Chung Myung ila ilikua na happy ending.
Kingine OST zake murua kama "Can you see my heart" ya Heinze pamoja na "Done for me" ya Punch...hizi ziliinogesha zaidi hii drama...Hawa wakorea wanajua sana kwenye uandishi wa hizi drama zao sijui lini wabongo tutafikia level hizi.
Honourable mentions: Hapa zinaingia Jumong, Kill me heal me, Queen Seondeok,Iris I,Arthdal Chronicles, Iljmae na Goblin.
Pia honourable mention iende kwa Mr Sunshine...katika drama zote nilizowahi angalia zenye sad ending hii ni ya pili ya kwanza ni Empress Ki. Hizi drama mbili zilijua kunisikitisha aisee.
Hio ndio list ya drama za kikorea nilizoangalia mpaka sasa na nikazikubali zaidi.
Hapana, kwangu inaleta full Title ndio maana huwa naipenda tofauti na hizo zingine, huleta mijinamba miingi.
DowntownGuy hapo kwenye "The empress ki" nakuunga mkono hata me hiyo ndio best drama yangu kwa upande wa historical drama inaonekana me na wewe tuna share taste nashangaa hapa Kuna watu hawaikubali Kama Numbisa na mwenzake Daemusin Kuna zingine ulizotaja sijacheki ngojea nikazicheki
Fanya uzicheki mkuu... Inaonekana tuna same taste... Hapo kwenye Empress Ki sidhaniDowntownGuy hapo kwenye "The empress ki" nakuunga mkono hata me hiyo ndio best drama yangu kwa upande wa historical drama inaonekana me na wewe tuna share taste nashangaa hapa Kuna watu hawaikubali Kama Numbisa na mwenzake Daemusin Kuna zingine ulizotaja sijacheki ngojea nikazicheki
Kwani mkuu wewe drama ipi unaikubali zaidi?Ilipotajwa tu empress ki nkajua itatuletea mabalaa humuππππ
Kwani mkuu wewe drama ipi unaikubali zaidi?
Hapo sawa... Unakubali zaidi historical au za mjini?Nyingi mkuu hadi nimesahau huwa nikiikubali moja nakuja kuiweka hapa kama comment
Hapo sawa... Unakubali zaidi historical au za mjini?
π€£π€£π€£π€£ Lakini kizuri lazima kisemweIlipotajwa tu empress ki nkajua itatuletea mabalaa humuππππ
DowntownGuy kikawaida ninapokuwa Kuna game ya timu yangu na Kuna movie au drama ya kucheki alafu kesho yake Nina paper Mara nyingi ninakuwa siangalii lakini kwa utamu wa "The empress Ki" nilijikuta ninaangalia episodes 5 alafu mzee kesho ninapaper.Hii ni drama pekee iliyonifanya niangalie episodes nyingi kwa siku moja nakumbuka Kuna siku nilipiga episodes 10 kwa siku 1 pekee.Mwandishi wa hii drama nimempa 5 aisee na niseme ukweli nilivutiwa Sana na uigizwaji wa mwanadada Ha ji won aliitendea haki hii drama yeye kiasi kikubwa aliifanya hii drama iwe best japokuwa me si mpenzi wa starring akiwa mwanamke lakini huyu alinikosha moyo wangu kabisa.Fanya uzicheki mkuu... Inaonekana tuna same taste... Hapo kwenye Empress Ki sidhani
itakuja kutokea nikaangalia drama ikazidi hio kazi maana ni full package... Pia kuna watu wengi ninawajua wameichagua Empress Ki kama all time favourite drama yao... All in all watu tuna tofautiana taste ndio maana sisi tumeipenda ila wengine wanaona ya kawaida!!! Japo nawashangaa!!!