Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kupakua drama za wakorea kwa simu kwangu ingelikuwa ni zaidi ya mateso.
kama unamiliki takribani laki 2.5 hadi 3 zisizo na matumizi ya lazima ni bora ununue laptop( si lazima utafute laptop za gharama kubwa kwa matumizi ya kawaida)

ulimwengu wa smartphone nimeshahama kwa takribani miezi mitano na huduma zote muhimu nazipata kwenye laptop yangu (whatstapp, telegram, fb n.k)
 
Humo utakutana na katoto ka dong yi kaprodogi(kajiniasi) hako kanaleta burudani za kila aina.
 
Tufundishe jinsi ya kudownload kwa laptop maana kwangu naona simu ina urahisi kuliko laptop. Simu natumia app tatu kwa pamoja kuvuta drama
 
Nimeshasahau jina lake utakaona kanachukia elimu ya awali na kurukia ya wakubwa
ndiye huyo mwanawe dong yi aliyetawala kwa takribani miaka 50....

baba yake crown prince sado (anamuua mwanawe kwa kumfunga kwa siku 7 bila ya huduma)
sado anamzaa YI SAN (mrithi wa madaraka ya huyo mtoto wa dong yi a.k.a kitukuu wa dong yi)
 
Aaah kumbe. Ila daah watu wana roho kuua kihivyo
ndiye huyo mwanawe dong yi aliyetawala kwa takribani miaka 50....

baba yake crown prince sado (anamuua mwanawe kwa kumfunga kwa siku 7 bila ya huduma)
sado anamzaa YI SAN (mrithi wa madaraka ya huyo mtoto wa dong yi a.k.a kitukuu wa dong yi)
 
Pachinko" is a drama about the hard lives and identity of Korean immigrants who have moved to Japan and the United States after the Japanese colonial era.
==============

Actor Lee Min-ho will star in the drama "Pachinko," which will be produced on Apple TV Plus.
"Lee Min-ho will be the main character of the best-selling novel "Pachinko" by Korean-American writer Lee Min-jin among the works to be presented by Apple TV Plus," an entertainment industry source told Sports Chosun on Wednesday.

"Pachinko" is a novel that captures the miserable lives of Zainichi (Korean residents in Japan). It was nominated for the 2019 National Book Award and selected by many media outfits as the "Book of the Year." It is a novel written by Korean-American author Lee Min-jin, who lived in Tokyo for four years from 2007 and covered Korean residents in Japan, and is considered one of the best works of the times.

Meanwhile, "Apple TV+," which was launched in more than 100 countries around the world in November 2019, has not yet started its Korean service, but expectations are rising for the launch of its domestic service with the addition of Korean subtitles since last August.

 
Hahaha Huyu kijan ndiye analinganishwa na mkali Jang Hyuk?
 
walikuwa vichaa waliokosa elimu bora ya sayansi ya siasa....
nilitokezea kumpenda yi ui min, siku niliosoma historia yake basi nikamchukia
nilitegemea angelikuwa kiongozi bora kumbe ndio yale yale.

niliishia episode 93 tokea mwaka 2019
kwahiyo katika hizo zama zote za Utawala wa kijeshi nani alikuwa na unafuu? , maana najua kukosa kwao ushirikiano ndio ulifanya Goryeo kutawalwa na Mongolia.
Drama ya Age of warriors pale mwanzoni inaonyesha jinsi gani utawala wa Mfalme Ui jong( the Wang) hauwathamini wanajeshi na kuwaona kama wajinga na watu wasiojielewa kabisa, mpaka matowashi wa Mfalme walikuwa na sauti kubwa mbele hata ya mkuu wa majeshi. Huku Mfalme mwenyewe kazi yake ni kucheza na wanawali na kunywa pombe muda wote. Hili lilipelekea wanajeshi kuungana na kuamua kufanya mapinduzi.
Kimsingi naona kama Anguko la Goryeo lilianzia kwenye utawala mbovu toka kwa wafalme wao, na Hao wanajeshi waliendeleza hutu ubabe wao na kujilimbikizia mali na madaraka.
 
Laptop ina raha kwenye kutizama drama yenyewe ila kuodwnload inisamehe tu tena
sawa shangazi yake mkorea wa dar,
ila siku utakayojua faida haswa ya kupakua drama kwa laptop naamini utaiweka mnadani simu yako.
teh teh teh

nikiwa na IDM nina uwezo wa kushusha 50 episode kwa saa 1:30.
mfano mdogo ni juzi drama ya my golden life
 
kwahiyo katika hizo zama zote za Utawala wa kijeshi nani alikuwa na unafuu? , maana najua kukosa kwao ushirikiano ndio ulifanya Goryeo kutawalwa na Mongolia.
hiyo project sijaiangalia hadi mwisho hivyo basi sitoweza kukupa jibu sahihi, mpaka hapa nilipofika na kwa mujibu wa maandiko ya kihistoria ni mtawala mmoja tu ameandikwa vizuri na vitabu vyenye kurekodi matukio ya goryeo.

huyu bwana aliwashangaza wengi sana kwani aliingia madarakani akiwa na miaka 26.
 
Hahaha Huyu kijan ndiye analinganishwa na mkali Jang Hyuk?
tuachane na hizi hadithi za upendo.
=============
hivi wale wahindi wana mchekeshaji mwengine mwenye ubora kama johnny lever?

nimetoka kuimalizia project ya Dong Yi, jambo moja jengine kubwa lililonivutia humu ndani ni hii nguvu ya comedians
(wameonyesha uwezo mkubwa sana), kwa ufupi sikutegemea kumuona huyu mshkaji anayeitwa yeo ho min a.k.a oh yi from jumong drama
akiulainisha muda wangu kwa vituko vyake (sijawahi kumuona akiigiza comedy).

pembeni alikuwepo mo palmo
yule afande masharubu (ni mara yangu ya kwanza kumuona)
lee kwang soo
yule mzee aliyeigiza emperor of the sea

wenzetu wakorea sanaa yao itachukua muda sana kufifia na sababu kubwa hawa wavimba macho wamejaza utitiri mkubwa wa vipaji kwa kila eneo (sanaa yao haitegemei nguvu ya msanii fulani tofauti na wengineo)

ukitaka ahjummas wamejaa
ukitaka ahjussi wamejaa
ukitaka watoto kila siku wanazaliwa upya
ukitaka majambazi uchwara kila siku wanazaliwa

kongole kwao kwa huu uwekezajii walioufanya kwa miaka hii 20 ya mafanikio, safari ndio inaendelea na ni matumaini yangu wakorea hawatobweteka

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…