Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

record of youth drama episode 14
choi soo jong cameo
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
===============
kama ulikuwa hufahamu huyu mwanamama ha hee ra aliyeigiza uhusika wa mama yake Sa Hye-Jun (park bo gum) ndiye mke halali wa ndoa wa choi soo jong.

unajua hii couple yao nje ya ulimwengu wa sanaa kwa nyakati tofauti imekuwa ikiwafanya wanandoa wa kikorea wawe katika nyakati ngumu sana hususani kwa wanaume(wamefunga ndoa mwaka 1993 lakini hawajawahi .............)

choi soo jong mungu anakuona
"mbona mwanaume mwenzio choi anafanya kazi za ndani, wewe na choi nani maarufu?"
fala wewe Great Conqueror safisha vyombo vyako ulivyolilia chakula
kwa sauti ya mama pyongyangπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
korean drama 2020:
penthouse drama = funga mwaka yangu huenda ikawa hapa:
inaziba nafasi ya do you like brahms drama (natumai itakuwa na hadithi nzuri kama ilivyobeba wahusika wake wenye nguvu)

wadada watatu wa ukweli = lee ji ah + kim so yeon + eugene
adui mwenye sura nzuri na asiyechosha, mwanadamu anayevutia anapocheza nafasi ya mabwana wale wenye fedha zao na nguvu zao madarakani, pendeza sana akiwa na miwani yake= uhm ki joon

kama wewe ni masikini hii drama haikuhusu bwanaaaa, tafuta channnel ya mambo tv uangalie season ya kihindi chandrakanta
 
Hapo ni asante unlimited bundle ila unatutamanisha wenye kasi ya kobe
juzi walinitisha na offer yao ya 2 GB kwa shilingi 500.
alhamdulillah niliendelea kupasua anga na unlimited yangu.
halotel idumu bwanaaa
ila rafiki yangu ananilalamikia laini yake haikubali......akijiunga siku ya pili kwa 500 anapata GB 1 ile ile

hivi ulishawahi kujaribu kwa siku ya 3 inatokezea nini kama umejiunga na kifurushi cha 500?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja niivute IDM kwenye simu yangu tuwe sawa.

Kama nilivyoitupa ttcl
endeleeni kucheza na kobe, kuna mdada fulani jana alipitisha laini za voda na offer zao.
nikajisemea moyoni
"nenda na voda yako,"
 
Me too walishanipa 2gb.
Hata mie nashangaa wengine hawapati ofa ya kesho yake wanaishia kupata hio 1gb pekee

Siku ya tatu kinarudi kifurushi cha 500.

Sijawahi kujaribu ila nilishapata mrejesho huo
 
Raha sana ningekua na kasi kubwa ningejaza drama kama zote
kuanzia tarehe 15-30 kwa kusherehekea miaka 5 mtandao wa halotel wanakupa bando mara mbili
==========
wanaokosa unlimited ya 500 tuwape pole (unajua si ujanja wetu bali ni bahati tu)

πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…