marketing strategy wamefeli sana, sijui waliwaza ujinga ganiBora wangeacha muda ule ule
ila drama zinachosha, mimi kila zinapokuwa nyingi ndio shetani wa delete anaponipanda zaidi.
kuna project takribani 5 nimezidownload lakini baadae nimezifuta
marketing strategy wamefeli sana, sijui waliwaza ujinga gani
nina ugonjwa huo hususani kwa hizi drama za miaka ya zamaniUnadelete bila kuangalia?
nina ugonjwa huo hususani kwa hizi drama za miaka ya zamani
reply 1988 nimeimaliza
zilizokutana na panga
- padam padam
- dear my friend
- mrs cop 1
- live
Kingdom of the Wind/Princess Jangmyungo ( Hizi zimeonyesha utawala wa Mfalme Daemusin( Muyul ambaye ni mjukuu wa Jumong wao wanamuita mungu wa vita), King Geuchoggo( Humu ndani inamuelezea moja ya Yogu ambaye ni Mfalme wa Baekje, ambaye huyu mwamba alikuwa akiwanyanyasa Gogryeo., King Gwanggaeto the Great ( Huyu Mfalme wa 19 Gogryeo alikuwa anajiita The North Ghost General, Kifupi Huyu ndio Mfalme bora wa Gogryeo na rolemodel wa mashujaa wengi wa Korea, huyu ndiye alifanya Gogryeo kuheshimika Asia) Legend of four gods imemuelezea japo kwa namna ya Kujiongeza kwa Director.Baada ya jumong ni mtiririko upi wa hiki kisa.
Ukimaliza kuangalia JUMONG unapaswa kuangalia season ipi ambayo ni muendelezo wa hii hadithi.
Mtiririko kamili wa hadithi hii una series ngapi zimechezwa.
record of youth drama episode 14
choi soo jong cameo
😛😛😛
===============
unajua hii couple yao nje ya ulimwengu wa sanaa kwa nyakati tofauti imekuwa ikiwafanya wanandoa wa kikorea wawe katika nyakati ngumu sana hususani kwa wanaume(wamefunga ndoa mwaka 1993 lakini hawajawahi .............)
View attachment 1610639
Miye zote Dramacool, Dramanice na Kissasian huwa napakua bila manambanamba.Mateso ya kissiassian bye bye
Kuna tofauti kubwa kati ya dramacool9.co na dramacool.movie
Dramacool9 ni nzuri na nyepesi kudownload ukishaclick episode husika subiri ianze kuplay utaona kitufe cha kudownload unaclick hapo inakuja bila manamba namba
Dramacool.movie ina matatizo ya kukutaka uonyeshe wewe sio robot kila muda
Kissiassian ni nzuri ila sasa kusubiri verification yao ni shughuli hasa browser ikiwa slow
Miye zote Dramacool, Dramanice na Kissasian huwa napakua bila manambanamba.
Jaribu kuandika dramanice.movieDramanice imepotea kwangu kila nikisearch inakuja dramacool
Jaribu kuandika dramanice.movie
Mi ndo natumia na naona rahisi maana kissasian sionagi sehem ya kudownload
KaribuuWaaow asante talnam,imekuja. Kissiassian ni nyepesi sema inahitaji subira kubwa.
bado sijarudi kwenye huu ulimwengu..Dae hawajawahi nini?nasubiria umalizie😂😂😂😂
sijaangalia drama kwa takribani wiki mbili....Niko na do do Sol Sol lala Sol na 18 again