Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tia neno lolote kwa hiyo picha hapo.
dongsaeng umetisha na channel za Asia
unataka kufanana na waheshimiwa wale wanaonunua magazeti 3 kwa siku yenye ufanano wa taarifa

  • JPM ahutubia bunge
  • JPM akiwasha bungeni
  • safari ya 2020/2025 yaanza rasmi bungeni
==============
  • Watanzania wabanduliwa Tunisia kasoro daemusin
  • Watanzania wafumuliwa Tunisia kasoro daemusin
  • Watanzania rojo rojo Tunisia, muokozi wao daemusin akosekana
penthouse drama niliitamani ila acha niendelee kuwa mvumilivu
 
amna mkuu kwa muda wote hapana ni kwa mwaka jana... me mwenyewe kuna series nazikubali maisha #1 Iris
ok, kama kumbukumbu zangu zitakuwa zipo sahihi:-
when the camellia blooms ndio project iliofanya vizuri nchini korea.
crashing landiong on you nadhani ni kwa upande wa cable tv.

nakubali masahihisho
 
Swali lako lina dhihaka ndani yake anyway sipo huko. Wahindi wanatoa single movies na drama kama wakorea tu.

Hizo isidingo unazosema hata wakorea wanazo
Nilikuwa natania kidogo.. series zao ni ndefu kama isidingo...
Upo sahihi series za India kwa kissasian.sh hazipo
Lakini part kubwa ya nchi ya Asia zipo me huwa natumia torrent kudownload za India.. kama kuna anayehitaji nimpe tovuti zake
 
Labda ni hii

Au hapa pia

Natafuta series ya kikorea inaitwa GIANTS pleaseeee mwenye nayo aje inbox...
 
ok, kama kumbukumbu zangu zitakuwa zipo sahihi:-
when the camellia blooms ndio project iliofanya vizuri nchini korea.
crashing landiong on you nadhani ni kwa upande wa cable tv.

nakubali masahihisho
uko sahihi Mkuu hiyo clashing kutokana na effects za covid-19 ndo maan ilikaa top kwa muda mrefu kidogo
 
Kissassian.sh ikikukubalia utaipenda sana ila siku ikiamua kukugomea utaishangaa.

Hivyo kuwa na mbadala kama dramacool9,dramanice.movie

Za kihindi Zina mb ngapi. Maana tatizo sio mb tatizo muda wa kuvumilia zifike,naweza vumilia kudownload vikorea tu kwa sasa ila vihindi navipenda mno.

Ukiweza tupia link
Nilikuwa natania kidogo.. series zao ni ndefu kama isidingo...
Upo sahihi series za India kwa kissasian.sh hazipo
Lakini part kubwa ya nchi ya Asia zipo me huwa natumia torrent kudownload za India.. kama kuna anayehitaji nimpe tovuti zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…