Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa jamaa alinifurahisha sana anafikiri drama zilizokuwepo kwenye dramafire ndio zote
Ziko links nyingi za 'Asian Drama'. Uzuri wa tamthilia zao zina uhalisia kuliko za Ulaya na Marekani.

Mimi ni mpenzi wa tamthilia za nyakati (historical drama) za Korea. Maudhui yake (hasa ya kiutawala na siasa) hayatofautiani sana na hapa kwetu.
 
Niseme ukweli hapo kwenye list yako namkubali sana huyo wa kwanza hasa kwenye giant na swallow the sun
 
Sageuk mpya ya choi soo jong, three Kingdoms, imjin war.
Mpaka sasa ina episode 5
 

Attachments

  • Screenshot_2016-11-08-17-43-04.png
    27.4 KB · Views: 82
Huyo Kim Yoo Jung nampenda sana huyo mtoto. Nilimwona kwenye The moon that embraces the sun na kuna nyingine ya kisasa inaitwa Flames of Ambition
 
Ha ha ha umenifanya nicheke sana mkuu, hiyo kitu inaonyesha ni kali sana imeona views mbalimbali. Halafu nakutafuta "seriously".
 
Asante kwa kushare mkuu umenitamanisha ila ngoja nivumilie iishe. Naamini Joanna na Lee min ho wameitendea haki sana hiyo movie na kwa utabiri wako ngoja nisubiri.
 
Namna ya ku download series na movies kwenye website ya Kissasian.com
 
Kuna mashine moja alicheza kwenye King gwangaeto inaitwa Yeon salta yule jamaa namkubali sana, especially scene zake za kuwa loyal servant kwa mtu Fulani, MF kwenye queen seondoek! Jamaa ni nomaaa! Alikuwa royal sana kwa Mishil na hata Jilsuk!
 
kuna ile city hunter.. yule jamaa namkubali sana kuna criz nyngne nmeisahau jna ilkua kijijin halafu alikua anapiga hatari sanaaaa... yaan ni msenge on the premium level hahahaaa
 
Leo nimekumbuka descendant of the sun hasa kipengele flani kny episode ya 3 pale captain a.k.a big boss Yoo shin jin alipokuwa anamuomba msamaha Dr Kang ghafla akapiga saluti na askari wengine walipogeuka nao wakapiga saluti, Je ile saluti ilikuwa kumpa heshima Dr? Au ilikuwa na maana nyingine??? Nilipenda sana ile sehemu binafsi nilielewa kaptain aliamua kupiga saluti baada ya kuona Dr amegoma kukubali msamaha wake, lkn kilichonivutia zaidi ni pale wanajeshi wengine walipoona captain anasalute nao wakapiga of which Dr alionekana kutulia baada ya hapo.

Pia kipengele kingine kilichonivutia ni pale Dr alipoanza kujigonga kwa Big boss ilhali mwanzo alikuwa mkali. Ile saa captain aliyokuja kuchukuliwa na helcopter ndio Dr. Akaona hapa nimepata mtu mzito.....
 
Wadau mtu yeyote wa Dar Mwenye iz ki2 ani tafute 0719848353
Plz wapendwa msaada wenu
 
Unapakuaje mkuu??? Naona option ya kustream tu!
Mimi natumia IDM kupakua humo mkuu baada ya kufungua tu huo site na ukichagua epsod husika bila hata kiplay inacapture video ka z yako kupakua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…