Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa jamaa alinifurahisha sana anafikiri drama zilizokuwepo kwenye dramafire ndio zote
Ziko links nyingi za 'Asian Drama'. Uzuri wa tamthilia zao zina uhalisia kuliko za Ulaya na Marekani.

Mimi ni mpenzi wa tamthilia za nyakati (historical drama) za Korea. Maudhui yake (hasa ya kiutawala na siasa) hayatofautiani sana na hapa kwetu.
 
MY BEST KOREAN YOUNG ACTOR AND ACTRESS (U 25)

(Part 1)

1. YEO JIN GOO:
View attachment 429300

kwangu mimi ndie muigizaji bora linapokuja suala la kuwashindanisha young actor,amezaliwa 1997 na nimebahatika kumuona kwenye drama mbali mbali kama vile GIANT,WARRIOR BAEK DONG SOO,JACKPOT,THE MOON THAT EMBRACE THE SUN na PRINCESS JAMYUNG.nilimpenda kwenye PRINCESS JAM YUNG ambapo alicheza kama prince Hodong kuna sehemu alitumwa na baba yake DAMUSHIN MUHYOOL ambaye alikuwa ni mfalme wa tatu wa taifa la goguryeo aende Naklang kwa ajili ya kumposa princess lahee kilichotokezea ilikuwa ni shidaa siwahadithii.

2. PARK JI BIN:
images
Park%2BJi%2BBin.jpg

kila mwanadamu amezaliwa na kipaji ila wengine wamezidishiwa vipaji akiwemo mwanadamu huyu ambaye amezaliwa 1995.ameigiza drama nyingi kama YI SAN,QUEEN SEONDEOK na BOYS OVER FLOWER ambapo alicheza kama ni mdogo wake na jan di, hahahahaaaa kiukweli familia yao ilikuwa ni balaaa kuanzia baba mpaka mtoto kwenye BOYS OVER FLOWER, kwa sasa ameamua kwenda kutumikia jeshi.

3. PARK GUN TAE:
Park_Geon-Tae-p2.jpg

amezaliwa 1996,inawezekana sijaangalia drama nyingi sana alizoshiriki ila kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO ushirikiano wake pamoja na YEO JIN GOO ulikuwa ni bora sana na kuifanya drama kuwa ni ya kuvutia tokea mwanzo.pia ameigiza drama kama vile KIM SO RO,ORANGE MARMALADE,JUNG YI GODDESS OF FIRE,PRINCESS JAMYUNG,THE MERCHANT GAEK JU na EAST OF EDEN

4. LEE HYUN WOO:

View attachment 429308
amezaliwa 1993 mara yangu ya kwanza nilimuona kwenye LOBBYST ambapo alicheza kama harry,baadae nilimuona kwenye THE GREAT KING SEJONG, GYE BAEK , MOORIM SCHOOL pamoja na SCHOLAR WHO WALK IN THE NIGHT

5. NO YOUNG HAK:amezaliwa 1993 kwenye THE KINGS DREAM alicheza kama kim yusin ambapo alishinda tunzo ya best child actors,pia ameigiza drama kama vile THE GREAT SEER,TRIANGLE,THE DUO,KING AND I, JINGIBROK:THE MEMORY OF IMJIN WAR.
View attachment 429305

6. LEE MIN HO:usichanganyikiwe wapo wengi nchini korea wenye majina yanayofanana,mara ya mwanzo nilimuona kwenye GUTALE OF THE FOX CHILD (GUMIHO) kusema kweli alinivutia na alinishajihisha nitafute kazi yake nyengine na nilibahatika kumuona kwenye THE MOON THAT EMBRACE THE SUN,SUNGKYUNWAN SCANDAL,HWAJUNG,SWORD AND FLOWER,THE GREAT SEER.

images

7. JUNG YOON SUK:amezaliwa 2003 nilianza kumuona kwenye JUMONG ambapo alitumika kama prince yuri na alikuwa na miaka 3,mpaka leo amekuwa akitumika kwenye drama nyingi sana kama vile YONG PAL,SIX FLYNG DRAGONS,JEONG DO JEON,FIVE ENOUGH,FLOWER IN PRISON na cha kuvutia Zaidi alitumika kwenye JANG YOUNG SIL ambayo imemkutanisha tena na song il kook baada ya miaka 10 tokea wakutane kwenye jumong.kiukweli ni mmoja kati ya watoto wanaofanya vizuri sana ukilinganisha na umri wake.

View attachment 429309 View attachment 429602
View attachment 429603

8. YOO SEUNG HO:amezaliwa 1993 sijui kama bado anastahili kuwa katika kundi hili kwa sababu jamaa amekuwa hodari sana jambo ambalo limemfanya kupokea ofa nyingi akicheza kama main character tofauti na wengine hapo juu.amecheza drama kama QUEEN SEONDEOK,I MISS YOU,WARRIOR BAEK DONG SOO,YOU ARE BEAUTIFUL,KING AND I,IMMORTAL ADMIRAL YI SOO SHIN.

View attachment 429311 View attachment 429605

9. KIM YOO JUNG:amezaliwa 1999,amebarikiwa kuwa na kipaji kikubwa sana na kiukweli anawakimbiza sana wenziwe na sifikirii kama kuna mtu ambaye anafuatilia drama za korea na akawa hajashuhudia kipaji cha binti huyu.ameshiriki drama kama vile ILJIMAE,ROAD NO 1, CAIN&ABEL, MAY QUEEN,SECRET DOOR,THE MOON THAT EMRACE THE SUN,GUMIHO,na pamoja na drama inayoendelea hivi sasa kupitia KBS tv inayoitwa LOVE IN THE MOON LIGHT akiwa pamoja na PARK BOGUM

View attachment 429312

10. KIM SO HYUN: amezaliwa 1999 nchini AUSTRALIA ila miaka 5 baadae walihamia nchini korea,miongoni mwa drama alizoigiza ni KING OF BAKING,THE MOON THAT EMBRACE THE SUN,I MISS YOU,TRIANGLE,ROOFTOP PRINCE,THE GIRL WHO SEE SMELL,WHO ARE YOU.
View attachment 429354
Niseme ukweli hapo kwenye list yako namkubali sana huyo wa kwanza hasa kwenye giant na swallow the sun
 
Sageuk mpya ya choi soo jong, three Kingdoms, imjin war.
Mpaka sasa ina episode 5
 
Attachments

  • Screenshot_2016-11-08-17-43-04.png
    Screenshot_2016-11-08-17-43-04.png
    27.4 KB · Views: 82

Huyo Kim Yoo Jung nampenda sana huyo mtoto. Nilimwona kwenye The moon that embraces the sun na kuna nyingine ya kisasa inaitwa Flames of Ambition
 
the legend of the blue sea
yashika nafasi ya juu nchini korea kwa kuangaliwa licha ya kuonyeshwa episode 2.Na mimi mwenzenu huenda nikatafuta beautiful mermaid (nguva) wangu ila awe mcheshi na mwenye vituko kama jun ji hyun. kama ndani ya thread hii muna mtu ni mvuvi au anafahamiana na wavuvi basi siku atakayobahatika kumpata mermaid namuomba tuwasiliane private ili aniuzie mimi na aache tamaa zake za kutaka kumdhuru.natangaza rasmi kutokuoa mpaka na mimi nipate mermaid wangu haijalishi nitakaa miaka mingapi nitavumilia tu.kwa wanaoangalia drama hii tukutane jumatano na alhamisi ijayo akipenda mungu tushuhudie episode ya 3 na 4.
IMG_6483.gif
tumblr_ogsn7jVNGU1vqfmslo2_1280.gif
tumblr_ogsn7jVNGU1vqfmslo6_1280.gif

the-legend-of-the-blue-sea-episode-2-recap.jpg
Ha ha ha umenifanya nicheke sana mkuu, hiyo kitu inaonyesha ni kali sana imeona views mbalimbali. Halafu nakutafuta "seriously".
 
hahahaahaaha namimi nimeamua kureplay kwa kicheko kwanza,hii drama naitabiria kuvunja rekodi ya DESCENDENT OF THE SUN kama nilivyowahi kusema miezi iliyopita nilipoandika kuhusiana na upcoming drama kwa sababu ya couples kali
vozz8ndp2gbbicvwpidokaw02aqsm698.jpg

kwanza mimi nimefurahi sana kwa director kumpa nafasi hii tena mwanadada jun ji hyun kuonesha tena kipaji chake baada ya mapumziko yake ya kazi nzito aliyoifanya (uzazi) nilipokuwa naangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR kiukweli mwanzo nilikuwa simuandafii sana ila miongoni mwa watu walionifanya nishawishike na nimuangalie kwa umakini sana ni wewe Prishaz.
katika press conference iliofanyika juzi kwa ajili ya uzinduzi wa drama hii alisema maneno yafuatayo kwa tafsiri ya kiingereza
1479173296-42-org.jpg

“When I first heard that I would be playing a mermaid, rather than being worried, I was really excited,“I thought the character of a mermaid is not something that can be seen easily in movies or dramas and therefore very new. I was excited at the thought of presenting a lot of different things.”
pia alizungumzia utofauti uliopo kupitia drama hizi mbili za MY LOVE FROM ANOTHER STAR na THE LEGEND OF THE BLUE SEA japo kuwa zimeandikwa na mtu mmoja Mrs park Ji eun

“In terms of their similarities, it’s a hurdle I have to overcome and something I’m constantly thinking about as I act,” she said. “(For Shim Chung), everything is mysterious and new. So in expressing that and her acceptance (of reality), I think we will be able to entertain viewers.”

LEE MIN HO
alisema maneno yafuatayo kuhusu jun ji hyun
AEN20161114009700315_03_i.jpg

"I like her a lot. But we didn't get close right away . . . At first, I was uncomfortable, but, fortunately, while we were going abroad and back to shoot overseas, we got really close. We've become friends to the point we'd laugh just by looking at each other."
SBcFX7u.gif
ONsD43l.gif
IMG_6507.gif
IMG_6509.gif
IMG_6442.gif
IMG_6504.gif
IMG_6505.gif

kuna taarifa leo zimezagaa kwenye mitandao mbali mbali ya kwamba muandishi wa drama hii amecopy baadhi ya scene kupitia tv series ya British inayoitwa THE SHERLOCK na inasemekana hii ni mara ya pili kwa muandishi huyu kucopy baadhi ya scene hata kwenye my love from another star alicopy baadhi ya scene kupitia american series inayoitwa THE NEW AMSTERDAM.

GifMeme14162619112016_zpsyb7axomp.gif

"How dare you to kiss my woman especially while it's only 2 ep!!!
GifMeme14521119112016_zpsyavpsman.gif

Dont blame me

GifMeme14461719112016_zpsh9q9ppqh.gif

"She's the one who come to me and kiss me"
GifMeme14210919112016_zpsiqmidrn4.gif

tukutane jumatano na alhamisi kwa ajili ya ep 3na 4 akipenda muumbaji wa ulimwengu
Asante kwa kushare mkuu umenitamanisha ila ngoja nivumilie iishe. Naamini Joanna na Lee min ho wameitendea haki sana hiyo movie na kwa utabiri wako ngoja nisubiri.
 
Kuna mashine moja alicheza kwenye King gwangaeto inaitwa Yeon salta yule jamaa namkubali sana, especially scene zake za kuwa loyal servant kwa mtu Fulani, MF kwenye queen seondoek! Jamaa ni nomaaa! Alikuwa royal sana kwa Mishil na hata Jilsuk!
 
kuna ile city hunter.. yule jamaa namkubali sana kuna criz nyngne nmeisahau jna ilkua kijijin halafu alikua anapiga hatari sanaaaa... yaan ni msenge on the premium level hahahaaa
 
hahahaahaaha namimi nimeamua kureplay kwa kicheko kwanza,hii drama naitabiria kuvunja rekodi ya DESCENDENT OF THE SUN kama nilivyowahi kusema miezi iliyopita nilipoandika kuhusiana na upcoming drama kwa sababu ya couples kali
vozz8ndp2gbbicvwpidokaw02aqsm698.jpg

kwanza mimi nimefurahi sana kwa director kumpa nafasi hii tena mwanadada jun ji hyun kuonesha tena kipaji chake baada ya mapumziko yake ya kazi nzito aliyoifanya (uzazi) nilipokuwa naangalia MY LOVE FROM ANOTHER STAR kiukweli mwanzo nilikuwa simuandafii sana ila miongoni mwa watu walionifanya nishawishike na nimuangalie kwa umakini sana ni wewe Prishaz.
katika press conference iliofanyika juzi kwa ajili ya uzinduzi wa drama hii alisema maneno yafuatayo kwa tafsiri ya kiingereza
1479173296-42-org.jpg

“When I first heard that I would be playing a mermaid, rather than being worried, I was really excited,“I thought the character of a mermaid is not something that can be seen easily in movies or dramas and therefore very new. I was excited at the thought of presenting a lot of different things.”
pia alizungumzia utofauti uliopo kupitia drama hizi mbili za MY LOVE FROM ANOTHER STAR na THE LEGEND OF THE BLUE SEA japo kuwa zimeandikwa na mtu mmoja Mrs park Ji eun

“In terms of their similarities, it’s a hurdle I have to overcome and something I’m constantly thinking about as I act,” she said. “(For Shim Chung), everything is mysterious and new. So in expressing that and her acceptance (of reality), I think we will be able to entertain viewers.”

LEE MIN HO
alisema maneno yafuatayo kuhusu jun ji hyun
AEN20161114009700315_03_i.jpg

"I like her a lot. But we didn't get close right away . . . At first, I was uncomfortable, but, fortunately, while we were going abroad and back to shoot overseas, we got really close. We've become friends to the point we'd laugh just by looking at each other."
SBcFX7u.gif
ONsD43l.gif
IMG_6507.gif
IMG_6509.gif
IMG_6442.gif
IMG_6504.gif
IMG_6505.gif

kuna taarifa leo zimezagaa kwenye mitandao mbali mbali ya kwamba muandishi wa drama hii amecopy baadhi ya scene kupitia tv series ya British inayoitwa THE SHERLOCK na inasemekana hii ni mara ya pili kwa muandishi huyu kucopy baadhi ya scene hata kwenye my love from another star alicopy baadhi ya scene kupitia american series inayoitwa THE NEW AMSTERDAM.

GifMeme14162619112016_zpsyb7axomp.gif

"How dare you to kiss my woman especially while it's only 2 ep!!!
GifMeme14521119112016_zpsyavpsman.gif

Dont blame me

GifMeme14461719112016_zpsh9q9ppqh.gif

"She's the one who come to me and kiss me"
GifMeme14210919112016_zpsiqmidrn4.gif

tukutane jumatano na alhamisi kwa ajili ya ep 3na 4 akipenda muumbaji wa ulimwengu
Leo nimekumbuka descendant of the sun hasa kipengele flani kny episode ya 3 pale captain a.k.a big boss Yoo shin jin alipokuwa anamuomba msamaha Dr Kang ghafla akapiga saluti na askari wengine walipogeuka nao wakapiga saluti, Je ile saluti ilikuwa kumpa heshima Dr? Au ilikuwa na maana nyingine??? Nilipenda sana ile sehemu binafsi nilielewa kaptain aliamua kupiga saluti baada ya kuona Dr amegoma kukubali msamaha wake, lkn kilichonivutia zaidi ni pale wanajeshi wengine walipoona captain anasalute nao wakapiga of which Dr alionekana kutulia baada ya hapo.

Pia kipengele kingine kilichonivutia ni pale Dr alipoanza kujigonga kwa Big boss ilhali mwanzo alikuwa mkali. Ile saa captain aliyokuja kuchukuliwa na helcopter ndio Dr. Akaona hapa nimepata mtu mzito.....
 
Wadau mtu yeyote wa Dar Mwenye iz ki2 ani tafute 0719848353
Plz wapendwa msaada wenu
 
Unapakuaje mkuu??? Naona option ya kustream tu!
Mimi natumia IDM kupakua humo mkuu baada ya kufungua tu huo site na ukichagua epsod husika bila hata kiplay inacapture video ka z yako kupakua tu.
 
Back
Top Bottom