Sawa mkuuu...zote umezimaliza?ukiwa na nafasi
Ulishaifuta?the king eternal monarch ndio nilibahatika kuiangalia yote
Upo Dodom?hata kama ningelikuwa nayo sidhani kama ingeliwezekana kukupatia kutokana na umbali
Telegramhata kama ningelikuwa nayo sidhani kama ingeliwezekana kukupatia kutokana na umbali
Ngoja nije niijaribu!jaribu hii link...kwangu inanipeleka sehemu husika
“Hospital Playlist” Reported To Begin Filming Season 2 This Year + tvN Responds
aliigiza uhusika wa Chi Hong (neurologist aliyempenda professor Chae Song Hwa
- According to the report, the production team is currently finalizing casting for supporting characters and extras.
- Actor Kim Joon Han Confirms that He Won’t Be Returning in Season 2 😡😡
love triangle ndio imefifia.
acha nijipendekeze kwa winter couple na mama rosaaa
=========
“Hospital Playlist” is scheduled to premiere its second season sometime in 2021.
View attachment 1626290
Sijui kwanini tu nikishaianglia drama,huwa siwezi kabisa kuirudia hata iweje, yaani nakuwa nakuona Kama napoteza muda tu.Mkuu irudie tena ukiwa umetulia hutojutia mda wako am sure.
Nawaandalia wanorth korea wenzangu ripoti ya field niliyoifanya SKwewe endelea kushabikia simulizi za kivita utadhani una vinasaba vya bwana yule genghis khan....
watu kama wewe ndio wale wanaowakilisha kundi lile linalojishindilia mapande ya sabuni ili wapate ugonjwa wa kuharisha pindi wanapotakiwa watoke mbele kwa dhumuni la kuipigania haki iliozimwa kama mshumaa.
waendeleaje na masomo yako muhuni wewe?
Sijui kwanini tu nikishaianglia drama,huwa siwezi kabisa kuirudia hata iweje, yaani nakuwa nakuona Kama napoteza muda tu.
Yani ile situation ya kujua tukio litakalo fuata huwa inaondoa kabisa ule msisimko kuiangalia drama husika.Otherwise isiigharimu gharama yoyote, vinginevyo naona kama upotezaji wa hela na muda wangu.Me too labda mpaka upite mwaka. Ila kuna nyingine huwa naweza kurudia
Shukran Mkuu,Aisee, kunasiku kwenye kupita pita humu nikaona mtu ame suggest Gwangwaetto the great, aisee sijajutia muda wangu,namshukuru sana huyo mtu Mwenyezi Mungu amlipe.. members nipeni nyingine inayoendana endana na hii ukiacha hiz
jumong
kingdom of wind
queen sedouk
Episode 200?😳Shukran Mkuu,
Drama zingine 10 hizi hapa
King Dae Joyoung( ep. 130+)
Emperor Wang gun ( ep.200)
Age of warriors ( ep. 158)
Empress Chunchu(ep 78)
King's Dream ( Dream of Emperor 70)
King Geuchoggo
God of War
Jeong do Jeon
The Legend of four gods
Kim Suro
Hii ni ASSIGNMENT ya Roho mbaya
God of War....Kim sor nishazionaShukran Mkuu,
Drama zingine 10 hizi hapa
King Dae Joyoung( ep. 130+)
Emperor Wang gun ( ep.200)
Age of warriors ( ep. 158)
Empress Chunchu(ep 78)
King's Dream ( Dream of Emperor 70)
King Geuchoggo
God of War
Jeong do Jeon
The Legend of four gods
Kim Suro
anza na Wang gun
Hii ni ASSIGNMENT ya Roho mbaya
hizo zote nishaziona.Episode 200?😳
Ni nzuri saaana aseeee...Numbisa hivi series ya kuitwa queen seduok ni nzuri? Naomba vidokezo kabla sijaamua kuishusha.
Mkuuu nazitafita zote hizo zingine aseee....ngoja nakuja pmhizo zote nishaziona.
nikiimaliza Age of warriors ninampango wa kuirudia Wang gun
🤣🤣🤣Huyu mwamba alifanya movie ichangamke sanaa na majibu yake ya papo kwa papoYang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
🤣🤣🤣Huyu mwamba alifanya movie ichangamke sanaa na majibu yake ya papo kwa papoYang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
Mkuu nitaifuatilia fresh nione kutoa kutoa anatoa nansiwezi kupingana na wewe kwa sababu sifahamu kilichopo nyuma ya makubaliano ya hizo taasisi mbili, lakini kwa fikra za kawaida sidhani kama netflix wana ubavu huo wa kuingilia mamlaka ya taasisi nyengine.
ni kama wao wasivyoingiliwa na project zao wanazozimiliki kwa 100%
Pia sidhani kama mwanzoni kabisa vagabond crew walijiandaa na muendelezo wa hii project bali responding ya mashabiki ndio imepelekea kuwepo kwa fununu za kuwepo muendelezo wake.
hata stove league drama na doctor prisoner kufanya kwao vizuri ndio kumevumisha tetesi za kurudi kwa season 2
halafu kuna ishu ya bajeti na ratiba za wasanii (wenzetu wana ratiba za mwaka mzima), unahitaji kuwa na strategies imara sana zitakazohakikisha wasanii wakuu hawaathiriki na muingiliano wa ratiba ya shooting na kazi zao nyenginezo (hususani kwa project zinazolazimu kusafiri nje ya korea)
kuna ishu ya COVID 19 ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa sana shughuli mbali mbali.
mfano mdogo ni arthdal chronicles season 2 wameshindwa kuingia mzigoni.
wameshindwa kwenda nje ya nchi kwa shooting, usisahau hii vagabond wameshooting maeneo ya morocco
sawaa Mkuu nitaifuta...Tafuta kitu inaitwa The Suspect huto jutia mda wako