Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Weka kwa atakae hitaji atatumia
nimeweka Mkuu

napenda sanaa movie za maswala ya kijeshi na kijasusi ....
Ndo maan kwenye list yangu iris, clashing na nyingine huwez kosaa...
ila story za akina wajapan na wakorea nimeshazichoka...
kama kuna movie za wakati wa sasa za kijasusi na kijeshi mnitajie wakuu
 
Ile ya mwendelezo wake jna lake lenyewe nmelisahau
Ile ambayo mtoto wa Jumong alikuja kuwa mtawala akashindana na King Daeso...
Jumong alkuja kuzaliwa tena kama mjukuu na akafanikiwa kumwondosha Daeso
inaitwa the land of the wind au kingdom of the wind ni muendelezo wa jumong baada kufa namna yuri alivyotawala....
kwa faida ya ambao hawajacheki story inamhusu sanaa mhyuli mtoto wa Yuri ila ni kama jumong tu(mtu mmoja) alizaliwa na laana Mama ake na alikufa na pia kiongozi wa dini alitabiri mtt auwawe na yeye akajiua....
Mzee kumuua ikawa msala akmtolosha na kaka yake akamwambia ampeleleke mbali na ufalme na asijue kama yeye ni mwana. wa mfalme.. jamaa akampeleka kwa demu wake hypae mapangon dogo kakua huko
Story nzuri sanaa
 
Kuna man to man

The K2(sijui nimepatia spelling)

Healer

Heartless city

Time between dog and wolf
 
Daemusin ni drama ipi ya Korea Kusini yenye maudhui ya romance ya hatari kupindukia, yaani ukiangalia hutamani kuisha. Ile romance iliyomo humo ndani unajihisi ni ww unafanya ama kufanyiwa hisia mpka unajikuta una mwaga machozi usipo kaa vizuri unalia kabisa. Ni ipi hiyo mkuu
 
mzee umekutwa na tatizo gani?
teh teh teh
======
assignment ulionipa ni ngumu sana brother,
jaribu Winter Sonata ya mwaka 2002

mfanyabiashara bae yeong joon akiwa kwenye ubora wake, huyu fala siku aliotembelea JAPAN sijui alipokelewa na mabinti wangapi pale uwanja wa ndege.

sababu kuu ni hii project
sanaa ya korea ilianza kutambulika rasmi kuanzia hapa,
 
Hahaaaa, eti nimekutwa na tatizo gani.!

Ngoja ni ishushe maana Son Ye Jin kuna kitu ameniongezea kuzipenda zaidi.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jf idumu
 
Yani hii drama ni the best

Sa kwanin harud au ashasoma script kakataliwa[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…