Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeirudia Gu family book kuenjoy vituko vya kang chi

Powerful opponents inashangaza na kufikirisha daah sijui watoto wa baba jesca nao wanadekezwa vile(full kulindwa)

Chip in uhondo mwingine unaoishia episode ya nane tu
 
Mimi nimepanga kuirudia Jumong kwa mara ya 6 sasa

Back
Top Bottom