ni yeye mwenyewe ndiye aliyetoa taarifa za kutokuonekana tena ndani ya season 2 kupitia youtube na sababu rasmi hakuitaja ila amesema ataendelea kuwa pamoja na crew nzima ya hospital playlist.Yani hii drama ni the best
Sa kwanin harud au ashasoma script kakataliwa[emoji1787]
Ni za vijjin au mjini?nimepata PC ya kutumia ila nimeona ni bora niendelee na likizo.
kutoka January mpaka October 2020, completed drama nilizoziangalia.
wino mwekundu= drama zilizotengenezwa nje ya mwaka 2020
- Tell me what you saw
- Romantic doctor season 2
- The game toward zero
- Nobody knows
- Itaewon class
- Kingdom season 2
- The king eternal monarch
- Memorist
- Money game
- Find me in your memory
- Hospital playlist
- Its okay to not be okay
- King maker the change of destiny
- The flower of evil
- Stranger season 2
- Do you like Brahms?
- Alice
- Age of Youth
- Lies after lies
- Missing of the other side
- When my love blooms
- Hot stove league
- The world of the married
- A piece of your mind
- The good detective
- Something in the rain (pretty noona who buys me food)
- Marry me now
- Falsify
- Search WWW
- The gentlemen of wolgyesu tailor shop
- Whisper
- Misaeng (incomplete life)
- Dong Yi
unywaji pombe kupita kiasi ni faida kwa serikali inayokusanya kodi na kiwanda kinachozalisha kinywaji
mchanganyikoNi za vijjin au mjini?
Nataka za kijjn tu.....mchanganyiko
Nataka za kijjn tu.....
Daemusin unatumia site gani sana sana
Mimi nacheki YouTube japo sivutiwi nayo
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Zote ndo zipo humu za kjjn..meona ziko from A mpk Z
Daemusin unatumia site gani sana sana
Mimi nacheki YouTube japo sivutiwi nayo
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
ndio, itategemea na category utakayoihitajiZote ndo zipo humu za kjjn..meona ziko from A mpk Z
Unatumia App gani kudownload kupitia simu?Laptop ina raha kwenye kutizama drama yenyewe ila kuodwnload inisamehe tu tena nakaribia kuongeza memory ya gb 64 kuendana na kasi ya 4G. Simu mpango mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyaway kwa vile.majina yapo nitaangalia utaratibu wa kupata nizitakzo...ndio, itategemea na category utakayoihitaji
- historical drama kuhusu joseon dynasty hadi emperor
- goguryeo
- goryeo
- shilla
- baekje
- korean war
kila la kheriAnyaway kwa vile.majina yapo nitaangalia utaratibu wa kupata nizitakzo...
Unatumia App gani kudownload kupitia simu?
Drama 10 bora nilizoziangalia kwa mwaka 2020
- marry me now
- the world of the married
- hot stove league
- crash landing on you
- stranger 2
- search WWW
- romantic doctor 2
- hospital playlist
- the king eternal monarch
- the flower of evil
Series ya Emperor Wang gun ndo ile ya king Gwanggaeto au ni mbili tofauti?