Mjini au ya kijjn?THE SWORDSMAN [emoji91][emoji91][emoji91]
Nimeangalia trailer yake ni ya moto,ngoja niipakueTHE SWORDSMAN [emoji91][emoji91][emoji91]
Sasa hivi Niko na My holo love pamoja na tale of nine tailed fox nani kaziona?....kila la kheri
Mjini au ya kijjn?
Nimeangalia trailer yake ni ya moto,ngoja niipakue
Napenda sana za kijjn ngoja nine niifuatilieKijijini
Napenda sana za kijjn ngoja nine niifuatilie
ukimaliza utanambia kama niendelee au ni uharibifu wa mb..na hivi ina mbs nyingi
mwenye queen seondock tafadhari ,
najua ni ya mda sana ila naitaka tena
au basi link naomba
Hii ndo pia inaitwa Great Queen?
Hii ndo pia inaitwa Great Queen?
Ilikuwa na mmama anaitwa Mishili?
Link plz mkuuNimeangalia trailer yake ni ya moto,ngoja niipakue
story yake nimeipendaView attachment 1628622
Sisyphus The Myth drama
Wed - Thur Drama (February 21~March 2021. )
A fantasy mystery drama about a genius engineer #Jo Seung Woo who tries to uncover the existence of a hidden life in our world and a savior #Park Shin Hye who has set a long and dangerous path for him.
hiv app ya ku watch korea series hata ya kulipia ipo?
Nimeirudia Gu family book kuenjoy vituko vya kang chi
Powerful opponents inashangaza na kufikirisha daah sijui watoto wa baba jesca nao wanadekezwa vile(full kulindwa)
Chip in uhondo mwingine unaoishia episode ya nane tu