Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimefika episode 12 nitaivuta mpaka mwisho. Nataka kuifatilia mpaka mwisho nione itaishaje.
yule muandishi wa drama sina bahati naye, project zake zote nilizowahi kuzitafuta basi nilizifuta(tena huu mwaka nimetia fora).

that winter the wind blows ndio drama pekee nilioangalia ambayo imeandikwa na genius no hee kyung.
  1. padam padam
  2. dear my friends
  3. live
  4. it's okay this is love
 
Bahati nzuri au mbaya sijui. Maana huwa najivutia tu drama bila kuangalia mwandishi ni nani. Na ndo vizuri kwa upande wangu naangalia juu juu bila kuwafahamu zaidi.
 
December package kwa upande wangu

1. Start up

2. Private lives

3. Lie after lie

4. Queen insoo

5. Tale of the nine tailed

6. When i was the most beautiful
.
.
.
.
.
.
.
.
99. JumongπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚[emoji125][emoji125]
 
Yupo na ID yake ile ile naona kaamua aanzishe na uzi wa kusifia kabisaaa
 

Mimi that winter the wind blows ndiyo pekee ambayo sijaiangalia katika drama zake za miaka 10 iliyopita. No Hee Kyung hana drama mbaya.
 
Mine November
Start up
Penthouse
Kairos
Nimemaliza do do Sol
Search 2020
Birth care centre


Nilijikuta nashusha Phoenix Kumbe ma episode 120 Kha nshaibwaga.

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 
Startup na do do sol nimezivuta nasubiria zikamilike niangalie naona do do nnimeisahau kwenye list hapo juu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚za episode 100 na kuendelea zinaleta uvivu sana kuzivuta labda uwe na kasi ya 5G
Mine November
Start up
Penthouse
Kairos
Nimemaliza do do Sol
Search 2020
Birth care centre


Nilijikuta nashusha Phoenix Kumbe ma episode 120 Kha nshaibwaga.

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yani bado nimmind yi bang won kwa kumuua mwalimu wake [emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
 
Drama nilizoangalia hivi karibuni
Hot stove league
It's okay not to be okay
Backstreet rookie
Kwa sasa nacheki Alice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…