Son ye jin nilizoea kumuanglia kwenye personal taste nikjaa kumuona huku kwenye crash landing on u kabadlika kinomaNiliona BBC wameripoti kuhusu North Korea ku dis hiyi drama.
Ila all in all hawa jamaa wako professional sana na kazi zao, yaani ile drama imenichukua sana kimawazo mpka nikahisi hawa jamaa ni hatari sana. Ebu fikiria yale majengo ya North Korea kwenye drama walivyo yaandaa aisee ni hatari sana. Kuna vingi sana nimeona na nimejifunza sana kutokana na hiyo drama, nadhubutu kusema ile drama ndio bora kwangu.
Yule dada Son Ye Jin ni noma sana aisee, unajua huyu dada ameniliza sana.! Huyu dada ana hisia kali sana kwenye kuigiza, ile scene Hyun Bin na wenzake wanarudishwa kwao Korea Kaskazini aisee nilipenda sana yale maneno anamwambia mpenzi wake.
Akishaangalia Jumong atajikuta anasahau BongoMovieNini kinakufanya useme wakorea wambea wakat wapo so talented katka ku catch feelings na kwa style yao ya uigizaji....Mzungu haeki mkono....Nakushauri tafuta Jumong tu....utaelewa zaid.....
Ilijimae na The Return of ilijimae ni series moja au mbili tofauti?Iljimae
Hi series in nzuri kwangu. Huwa si ichoki kuingalia.
Nataka Korean Series za kijijini lakni....sio zile za townNina series za Korea zaidi ya 30 complete kama Kuna mtu akitaka tuexchange aniambie...pia ninazo za US and others nipo kariakoo 0762778385
moja. nimuendeIlijimae na The Return of ilijimae ni series moja au mbili tofauti?
zote ni moja. ni muendelezo tuIlijimae na The Return of ilijimae ni series moja au mbili tofauti?
Mbili tofautiIlijimae na The Return of ilijimae ni series moja au mbili tofauti?
Nipe link mzebabaHii movie nilitamani iwe drama ghafla,iwe ndefu ndefu kidogo[emoji85][emoji85]
hii hali iliwahi kunikuta nyakati zile naangalia boys over flower drama.Second Lead Syndrome inauma sana, Nampenda Yule kaka kweny Start Up Ila dah role anazocheza zinauma kama niache kutazama, Ila drama nzuri nayo
mwezi December nimerudi kuangalia drama nilizokuwa na mipango nazo
- nimemaliza kuiangalia start-up drama.
- naangalia the penthouse drama
hawa watoto wa kitajiri na wale wakajamba nani walioko korea inaonekana wanalelewa kimasihara sana (kwa kuwa tupo korean nimeamua kuwatolea mfano wao tu), sijui ndio tuite utandawazi au utanda ukosefu wa tabia njema.
mtoto anampandishia sauti mzee wake, mzee hatimaye anaamua kuwa mnyonge kwa mtoto haijalishi awe sahihi kimtazamo dhidi ya mwanawe.
kwa sisi tuliolelewa na mama fatuma, mama asha, mama kipozeo, mama tukinao, mama maharibiko na mama wengineo wakiungana na baba mwijaku, baba mkandarasi, ukiwaletetea mbwembwe za kijinga zenye kuunganika na upumbavu mbona utakoma wewe.
mara zinatoka kauli:
" wewe khanithi (kwetu zenji ni tusi la kawaida tu), nimekulea miezi 9 tumboni ndio unaamua kuniletea sasa mambo ya kisengerema..... wewe mjaka mweusi hebu lete huo mkanda wa jeshi wa baba yako, huyu mpuuzi mwenzio anataka kunipanda matakoni(nimekusudia kichwani, typing error ila mtafuta nyinyi wasomaji)".
utapigwa hapo weee mpaka shekhe wa msikiti wa Ijumaa aje akuombee (na hotuba ya ijumaa ilivyo ndefu huyo shekhe hata akitoka msikitini mama watoto ameshakutoa makovu mwili mzima)
halafu kwa jeuri mama kibindinkoi anakwambia.
"sasa kesho utakwenda skuli, madrasa na sikupi hata shilingi 10 ya kutumia.
na utaisoma namba"
huu ndio uchumi wa buluuu
kuendelea kusubiria kiss scene ndani ya secret forest ni tukio gumu zaidi kuliko kuwasubiria wapinzani waitawale Tanzania pande zote mbili.
hivi haya maneno hukuwahi kuyasoma:
Hwang Si-Mok (Cho Seung-Woo) had brain surgery when he was a child, which caused him to lack emotion. Now, Hwang Si-Mok works as a prosecutor. He is rational, but cold and lonely.
muda wote huyo bwege anawaza haki
Asianwiki wameandika the penthouse ina episode 20.
niliwahi kusoma kichwa cha habari kwenye thread ya hiyo drama pale soompi inavyosemekana hiyo drama huenda ikarudi na season 2.
the penthouse usisubirie imalizike, nahofia itakupotezea masaa mengi kwa siku.
ni motooooooo
episode 13 nimeziangalia kwa siku 2, naitamani jumatatu ifike.
Mkuu nataka kuangalia six flying dragon unaweza kunipa intro nini kimejili kwenye hii dramaupcoming drama 2021: Mouse, 마우스
======
Jung Ba-Reum (Lee Seung-Gi) is a rookie police officer, working at a police substation. He is an honest person and tries to attain justice. He faces a psychopath murderer, who places the entire nation in fear. Jung Ba-Reum’s life is totally changed afterwards.
View attachment 1647979
Kitu cha Awaken ni moto nachokupunguza kunywa kwa afya yako ni uamuzi bora zaidi.
the penthouse inanitosha kwa sasa
Kitu cha Awaken ni moto nacho
Nipo na penthouse
Awaken
Kairos
Na reply1988
Baba Chicco nimekosea inaitwa "Memorist" vipi umeiyona?hilo jina la drama ndio kwanza nalisikia kwako,
nisaidie japo muhtasari wa hiyo drama
jaribu hii:
Dramanice - Watch asian drama online free - Asian movies english sub
Asian Drama, Watch drama asian Online for free releases in Korean, Taiwanese, Hong Kong, Thailand, Japanese, and Chinese with English subtitles, Download drama with FullHDdramanice.so