curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
iko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia dramania ipo google pekee(hii application ina vikorea vyoootee ila episode moja imekatwa part 3 au 4)Dramanice.so, dramanice.movie
habarini wana jamvi
kwa yeyote mwenye uelewa jinsi ya kudownload movie za kikorea kwenye simu nitashukuru akinielekeza hapa
Hasa kuna series inaitwa Athenna:goddess of war nimeitafuta sana
ila kiukweli nazikubali sana hizi movie 🙌🙌
Zimefanyeje MbsAbyss thumbs down..mb zangu[emoji22]
Series imepooza nimeharibu Mb zanguZimefanyeje Mbs
Ipi hyo?Series imepooza nimeharibu Mb zangu
AbyssIpi hyo?
Songa songa nayo lbd kwa mbele ni nzuriAbyss
Abyss thumbs down..mb zangu[emoji22]
Nimepona na Do Do Sol sol la la..naenda nayo taratibuPole
Asante wacha long Weekend hii niifanyie kaziJamani Kuna drama inaitwa "Memorist" ya 2020 Kama uliipenda vagabond basi hii lazima uikubali Hadi sasa nipo episode ya 4 tayari imenibamba utakuwa umefanya kosa la kiseries bila kuicheki hii
Mazigazi
Numbisa
Baba Chicco
mzee wa liver
siku 12 zilizopita nilikwambia upunguze dozi, inaonekana ushauri wangu umeshindwa kufanyia mazingatio na utekelezaji.
=========
merry christmass
Nimepona na Do Do Sol sol la la..naenda nayo taratibu
ngoja nikukimbie....nilitaka tupumzike pamoja kuangalia wakorea.
kumbe hutaki
fanya tuhame SEOUL ya TZ
Hahaha yani nacheka comment za dramanice, a total makjang..sema inazingua Ila Ina ki addiction huach kutazamaanatafutwa Adui wa bongo movies
jinsia: mwanamke
sifa zake:
picha hii haina uhusiano wowote na tangazo hilo hapo juu
awe mfupi kiasi mnene kama bi mwenda wa kaole sanaa mweusi tiii kama mkaa au maji ya kwanza ya maharage ya mbeya awe na kichwa kikubwa kama dafu awe na mdomo maneno kama kahaba aliyenyimwa hela/pesa yake ajue kusonya/kufyonya mssssxxxxxxiiiiiii!!!!!!!
View attachment 1658545
Nzuri ila kama wamemaliza haraka harakaHatimaye nimeimaliza SEARCH