Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

iko
Screenshot_20201222-081803.jpg
 
Ukiiweza hii kissiassian.sh utafaidi vikorea vya kila aina

Browser unaweza tumia uc browser,uc mini,Phoenix au browser yoyote utakayoona ina kasi ya kudownload kwa simu
habarini wana jamvi

kwa yeyote mwenye uelewa jinsi ya kudownload movie za kikorea kwenye simu nitashukuru akinielekeza hapa

Hasa kuna series inaitwa Athenna:goddess of war nimeitafuta sana

ila kiukweli nazikubali sana hizi movie 🙌🙌
 
anatafutwa Adui wa bongo movies
jinsia: mwanamke
sifa zake:
  1. awe mfupi kiasi​
  2. mnene kama bi mwenda wa kaole sanaa​
  3. mweusi tiii kama mkaa au maji ya kwanza ya maharage ya mbeya​
  4. awe na kichwa kikubwa kama dafu​
  5. awe na mdomo maneno kama kahaba aliyenyimwa hela/pesa yake​
  6. ajue kusonya/kufyonya mssssxxxxxxiiiiiii!!!!!!!​
picha hii haina uhusiano wowote na tangazo hilo hapo juu
View attachment 1658545
Hahaha yani nacheka comment za dramanice, a total makjang..sema inazingua Ila Ina ki addiction huach kutazama
 
Back
Top Bottom