Hawa watoto wa kwenye penthouse nmejikuta nawachukia na huku wanaigiza tu.mitoto inagombeza hadi wazazi waoπ π
Aiseee iko vizuri,usiipite tu.mmh kwa bongo sidhani aiseee najua kuna majirani wenye viherehere kama mimi watasaidia kulea.......watoto wamechachuka mpaka wamepitiliza.Nimeivuta yote halafu naipita tu ngoja niiangalie. Wakorea nao wamezidi kudekeza watoto wao,ila tunaweza wasema wao kumbe hata huku tunao wale wa papa,mommy
Inakera lakin unajikuta unatizama tuAiseee iko vizuri,usiipite tu.mmh kwa bongo sidhani aiseee najua kuna majirani wenye viherehere kama mimi watasaidia kulea.......watoto wamechachuka mpaka wamepitiliza.
Iangalie ni nzuri,mi ndo nipo episode ya 5.
Halotel bundle la usiku wamepunguza tena from bila Kikomo to GB 5
aisee sijui nilijimix wapiOfa ipo halopesa
aisee sijui nilijimix wapi
Ni ya moto hii series lolAiseee iko vizuri,usiipite tu.mmh kwa bongo sidhani aiseee najua kuna majirani wenye viherehere kama mimi watasaidia kulea.......watoto wamechachuka mpaka wamepitiliza.
Iangalie ni nzuri,mi ndo nipo episode ya 5.
Sana,nilikua nimemmiss vitu vya namna hii.wamejua kunikoshaNi ya moto hii series lol
Ivi umeanza kuangalia penthouse,naona km unapitwa.kama bado anza you.......noπ₯π₯π₯π₯Pole ila asante kwa kunishtua nami ningekwama hapo
Ivi umeanza kuangalia penthouse,naona km unapitwa.kama bado anza you.......noπ₯π₯π₯π₯
Hatari sana..kati ya series zinazofanya mtu unakua VERY excited kujua ya mbeleSana,nilikua nimemmiss vitu vya namna hii.wamejua kunikosha
Huyo pacha wa kike ni bully wa kimataifa[emoji23][emoji23][emoji23]Tayari nimeshaanza ila nilipofikia wale mapacha ukaribu wao sio wa kawaida hope hawatapitiliza looh upendo gani ule,ka kike kana dharau kupitiliza
Huyo pacha wa kike ni bully wa kimataifa[emoji23][emoji23][emoji23]