Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakorea wangeachana na seasons hawaziwezi wao wangekomaa na episodes hata 50 niliangalia romantic doctor,teacher kim 2 nzuri nikaona aah nimekosea labda romantic doctor,teacher kim 1 ina mwanzo wake kisha 2 ndio muendelezo ila sasa kila moja inajitegemea story yake na wahusika wanamebadilika. Anyway zote nzuri.

Pia hii dr romantic ya 2016/2017 wameitaja corona virus laiti kama mabingwa wa afya wangeiwekea mkazo kipindi hicho isingetutesa vibaya 2020
 
Nimeivuta yote halafu naipita tu ngoja niiangalie. Wakorea nao wamezidi kudekeza watoto wao,ila tunaweza wasema wao kumbe hata huku tunao wale wa papa,mommy
Hawa watoto wa kwenye penthouse nmejikuta nawachukia na huku wanaigiza tu.mitoto inagombeza hadi wazazi wao😠😠
 
Nimeivuta yote halafu naipita tu ngoja niiangalie. Wakorea nao wamezidi kudekeza watoto wao,ila tunaweza wasema wao kumbe hata huku tunao wale wa papa,mommy
Aiseee iko vizuri,usiipite tu.mmh kwa bongo sidhani aiseee najua kuna majirani wenye viherehere kama mimi watasaidia kulea.......watoto wamechachuka mpaka wamepitiliza.
Iangalie ni nzuri,mi ndo nipo episode ya 5.
 
Back
Top Bottom