Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee nitaitafuta

Saizi nimeamua kuirudia Jumong kwa mara ya 4 sasa hii kitu haichoshi wala haikinai kabisa.

Do Chi kama Do Chi ananivunja mbavu huku
Nihatari balaa, tafuta God of war Zhao yun

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
20210301_104201.jpeg
 
Aigooo, Do Chi mzee wa kula maini mabichi hachoshi kabisa kutizama. Kuna ile staili yake kama ana guna kisha ana angalia pembeni hahahaa ni hatari.

Pia kuna mwehu mmoja wakuitwa Mu Song huyu ndio chizi kabisa, akikutana na dada yake basi anadeka weeee mpaka apewe pesa ya pombe hahahahahaaa.

Alafu kumbe Bu Young ni mrembo kiasi hichi

Do Chi mzee wa kupigwa na kupiga ovyo.....
ule msemo wa kule nikule ndio unafanya kazi kwa bwana do chi.
20210301_103009.jpeg
 
Tunaotazama river where the moon rises kuna kitu kina miss au ni Mimi tu...

The myth, thank you ya Bae Jang hyuk, penthouse 2, she would never know na Shine or Go crazy nazisongesha
 
Tunaotazama river where the moon rises kuna kitu kina miss au ni Mimi tu...

The myth, thank you ya Bae Jang hyuk, penthouse 2, she would never know na Shine or Go crazy nazisongesha
Hakijamiss kitu but sijui kama kuondolewa kwa Ji Soo kutaiacha drama salama hasa tukija upande wa Chemistry wa Male Lead na Female Lead sidhani kama Na In Woo atakosha mioyo ya watazamaji akiwa na Kim So Hyun
 
Basi kuna dizain vibe la kihistoria nalikosa mle, ni kama inakatwakatwa Yan connection sio poa.....Ila story nzuri
 
kilingeni 2021 na mnywaji urojo
  1. Taxi driver drama == lee je hoon + esom​
  2. undercover drama == ji jin hee + kim hyun joo
  3. hospital playlist season 2 drama
  4. Navillera (like a butterfly) drama == song kang + park in hwa harabujiii
  5. snowdrop drama == jung hae in + ji soo (blackpink)
  6. red sky (Hong cheong gi) drama == kim yoo jung + ahn hyeon seop
  7. Joseon exorcist drama = ulimwengu wa mazombies
  8. mount jiri drama == ju ji hoon + Jun Ji-Hyun
  9. law school drama == kim bum + kim myung min
  10. the glory drama === song hye kyo
  11. pachinko drama === lee min ho, kwa mara ya kwanza Apple wanalivamia soko la korea wakifuata nyayo za netflix
nje ya 2021
  1. my sassy girl drama (2017)
  2. just between lovers 2017)
  3. good doctor drama (2013)
nje ya korea
  1. naitamani zaidi Resurrection: Ertuğrul
====================
nyie endeleeni kunywa soju na mahindi ya Aflatoxins, wengine tunasubiria tuchanjwe msumari wa chanjo ya corona ndipo turudie ulevi
hii list inaweza kubadilika muda wowote hususani hizo zilizowekwa wino mwekundu
Can't wait hiyo no.3
 
Daemusin Na Doo Bogoshipda Manhi Chinguya

Klop Tumueke Kando Kwanza Nahisi Kama Angekua Kwenye Izi Timu Zetu za Hapa Bongo Angeshaenda.

Mzima Za Kutoroka.?

Naona Penthouse Inaendelea Na Makjang Yake Upo Episode Yangapi Au Ushaiacha?
 
Penthouse nipo season ya 2 nimeimaliza episode ya 6 sijajua bado imetoka episode nyingine au bado ipo ya 6 ile ile?
 
Back
Top Bottom