Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aigooo, Do Chi mzee wa kula maini mabichi hachoshi kabisa kutizama. Kuna ile staili yake kama ana guna kisha ana angalia pembeni hahahaa ni hatari.

Pia kuna mwehu mmoja wakuitwa Mu Song huyu ndio chizi kabisa, akikutana na dada yake basi anadeka weeee mpaka apewe pesa ya pombe hahahahahaaa.

Alafu kumbe Bu Young ni mrembo kiasi hichi

Do Chi mzee wa kupigwa na kupiga ovyo.....
ule msemo wa kule nikule ndio unafanya kazi kwa bwana do chi.
 
Tunaotazama river where the moon rises kuna kitu kina miss au ni Mimi tu...

The myth, thank you ya Bae Jang hyuk, penthouse 2, she would never know na Shine or Go crazy nazisongesha
 
Tunaotazama river where the moon rises kuna kitu kina miss au ni Mimi tu...

The myth, thank you ya Bae Jang hyuk, penthouse 2, she would never know na Shine or Go crazy nazisongesha
Hakijamiss kitu but sijui kama kuondolewa kwa Ji Soo kutaiacha drama salama hasa tukija upande wa Chemistry wa Male Lead na Female Lead sidhani kama Na In Woo atakosha mioyo ya watazamaji akiwa na Kim So Hyun
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakijamiss kitu but sijui kama kuondolewa kwa Ji Soo kutaiacha drama salama hasa tukija upande wa Chemistry wa Male Lead na Female Lead sidhani kama Na In Woo atakosha mioyo ya watazamaji akiwa na Kim So Hyun
Basi kuna dizain vibe la kihistoria nalikosa mle, ni kama inakatwakatwa Yan connection sio poa.....Ila story nzuri
 
Can't wait hiyo no.3
 
Daemusin Na Doo Bogoshipda Manhi Chinguya

Klop Tumueke Kando Kwanza Nahisi Kama Angekua Kwenye Izi Timu Zetu za Hapa Bongo Angeshaenda.

Mzima Za Kutoroka.?

Naona Penthouse Inaendelea Na Makjang Yake Upo Episode Yangapi Au Ushaiacha?
 
Penthouse nipo season ya 2 nimeimaliza episode ya 6 sijajua bado imetoka episode nyingine au bado ipo ya 6 ile ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…