Bob swagger
Member
- Jan 16, 2020
- 48
- 56
Descendants of the sun nimeiyona iko poa ila my love from another star ni nzuri ila niliishia episode ya sita kwa sababu aina ualisia uongo ni mwigiDescendants of the Sun
My love from another star
hizo za zamani kidogo ila sizichokagi
Descendants of the sun nimeiyona iko poa ila my love from another star ni nzuri ila niliishia episode ya sita kwa sababu aina ualisia uongo ni mwigi
Huyu jisoo kwanin ametolewa nimedownload ndo naona sura tofaut ya ML nimepoz kwanzaHakijamiss kitu but sijui kama kuondolewa kwa Ji Soo kutaiacha drama salama hasa tukija upande wa Chemistry wa Male Lead na Female Lead sidhani kama Na In Woo atakosha mioyo ya watazamaji akiwa na Kim So Hyun
Kama time travel drama mwenzetu uko Karne nyumaWhile You Were Sleeping
Crash Landing on You
Fight My Way
I Am Not a Robot
Touch Your Heart
Hwarang
Love in the Moonlight
Cinderella and the Four Knights
100 Days My Prince
Coffee Prince
My Sassy Girl
Healer
The Heirs
Almost my list kasoro Mouse na love alarm, nipo na Thank you ya Bae Jang hyuk.Current.
Penthouse 2
Vincenzo
Sisyphus
Mouse
River where the moon Rises
Love Alarm
Siku Izi Napunguza Dose.
Kama time travel drama mwenzetu uko Karne nyuma
Yan hizi drama zao za time travel zinanchanganya, na ndo kama trend kipindi hiki lol
Anhaa nimekupataHuyo mgeni ndani ya seoul alikua anaomba list nzuri za drama.kipindi anaomba nilikua banned,leo nasaidia waliompa list ya kwanza
Ila ongoing kwangu mateso hivyo huwa narudi nyuma kusubiria ziishe
Time travel ni nzuri sema za kufikirika maana hakuna ushahidi wa dunia nyingine
Inasemekana Alihusika Kwenye Vitendo Vya Kiunyanyasaji Wakati Yupo Shule.Huyu jisoo kwanin ametolewa nimedownload ndo naona sura tofaut ya ML nimepoz kwanza
Hua Wanatoa Kila Wiki Episode 2 Kwa Sasa Ipo Mpaka Ya 8.Penthouse nipo season ya 2 nimeimaliza episode ya 6 sijajua bado imetoka episode nyingine au bado ipo ya 6 ile ile?
Mwandishi ni mbunifu Sana na ndio kitu ambacho tunakosa kwenye movie zetu za bongo ukiwa unaanza kuifuatilia kuanzia mwanzo ni mgumu kujua starring ni Nani? Unaweza kuzani ni huyu unashangaa baadae anakufa mfano mzuri ni shim yu Ryeon mke wa Joo Dan tae.Lakini kwa upande wangu nilivutika Sana na uwigizaji wa yule aliyekufa Min seol ah nilitamani asingekufa kabisa lakini mwandishi kaplay part yake vizuri.Ila Penthouse Inajua Kutuvuruga Yaani Huyu Mwandishi Nae Itakua Ni Makjang tu Kama Hili Andiko Lake.
Haha unajiuliza GB 5 kweli nafanyia nini sasa..aiseeMmh wavuta drama na movies tunateseka sana bila unlimited bundles
Nasubiri iishe ni download. on going zimenishindaIla Penthouse Inajua Kutuvuruga Yaani Huyu Mwandishi Nae Itakua Ni Makjang tu Kama Hili Andiko Lake.
Haha kulinganisha movie za kibongo na Korea mbona kama umewakosea wakorea parefu [emoji1787][emoji1787]Mwandishi ni mbunifu Sana na ndio kitu ambacho tunakosa kwenye movie zetu za bongo ukiwa unaanza kuifuatilia kuanzia mwanzo ni mgumu kujua starring ni Nani? Unaweza kuzani ni huyu unashangaa baadae anakufa mfano mzuri ni shim yu Ryeon mke wa Joo Dan tae.Lakini kwa upande wangu nilivutika Sana na uwigizaji wa yule aliyekufa Min seol ah nilitamani asingekufa kabisa lakini mwandishi kaplay part yake vizuri.
Sijalinganisha labda ujasoma vizuri comment yangu ujumbe wangu unamaanisha bongo movies wajifunze kupitia drama za korea wanaweza kujifunza hasa ubunifu wa wenzetu hasa kwenye utengenezaji na maudhui kiujumla.Haha kulinganisha movie za kibongo na Korea mbona kama umewakosea wakorea parefu [emoji1787][emoji1787]
Haha unajiuliza GB 5 kweli nafanyia nini sasa..aisee
Aisee mi huwa napenda action kama God of war japo sasa hii imepooa mpaka nipo episode ya 39 lakin imepoa balaa japo yuwen yue ndio starring wa kwenye God of war hii sijaona. Napenda action na pia movie iwe na story dizain ya Ancient detective.Kabla ya kwenda huko tizama kitu inaitwa Princess agents
Iko poa sanaIljimae
Hi series in nzuri kwangu. Huwa si ichoki kuingalia.
Ila Huyu Mwandishi Hizi Ndo Aina Ya Kazi Zake Na Apa Bado Kuna Surprise nyingi tu Unaeza Kuta Bae Rona Na Eun Byeol Ni Baba Mmoja au Inawezekana Yoon Hee Si Alomua Min Seol.Mwandishi ni mbunifu Sana na ndio kitu ambacho tunakosa kwenye movie zetu za bongo ukiwa unaanza kuifuatilia kuanzia mwanzo ni mgumu kujua starring ni Nani? Unaweza kuzani ni huyu unashangaa baadae anakufa mfano mzuri ni shim yu Ryeon mke wa Joo Dan tae.Lakini kwa upande wangu nilivutika Sana na uwigizaji wa yule aliyekufa Min seol ah nilitamani asingekufa kabisa lakini mwandishi kaplay part yake vizuri.