Kwenye Haya Mudhui Sasa Itafute Hii Vincenzo Uone Uandishi Wake Umu Ndani Kwenye Kucheka Unacheka Uku Unatoka Na Kitu Na Ni Moja Ya Drama Bora Kwa Joong Ki Alizowai Cheza.Sijalinganisha labda ujasoma vizuri comment yangu ujumbe wangu unamaanisha bongo movies wajifunze kupitia drama za korea wanaweza kujifunza hasa ubunifu wa wenzetu hasa kwenye utengenezaji na maudhui kiujumla.
Pole. Mimi Zilizoisha Napataga Ugumu Kuziangalia Labda Inisisimue Hasa.Nasubiri iishe ni download. on going zimenishinda
Inahusu Nini?Kwenye Haya Mudhui Sasa Itafute Hii Vincenzo Uone Uandishi Wake Umu Ndani Kwenye Kucheka Unacheka Uku Unatoka Na Kitu Na Ni Moja Ya Drama Bora Kwa Joong Ki Alizowai Cheza.
Cheki kwenye hyo link,au downloadSamahani ambae anajua telegram channel inayopost hii kitu mpaka ep ya 10 kwenye Eng sub tafadhal naomba
Sisyphus the mythView attachment 1728983
Hi.
Natafuta tamthilia hii ya kichina inaitwa Hot Mom! (2013)
Niliwahi kuiona Startimes miaka ya 2018 hivii, ila sikuimaliza. Ninataka kuiona yote ikiwa kamili. Nitapenda nikipata iliyo subbed kwa english, au hata kama imetafsiriwa kwa kiswahili na kiingereza (dubbed)
HatariNaona viewers kutoka bongo wako so recognized ....vincenzo wanatoa another shout out Kwa bongoland
Plot twist [emoji134]Mwandishi wa Penthouse anatuvuruga kweli kweli shim yu Ryeon eti hajafa dah! Kweli katuweza aisee
Hiv missyrose hiyo vincenzo ni nzuri?Plot twist [emoji134]
Na Rona atafufuliwa hahaha hizi plot twist ni hatar...Mwandishi wa Penthouse anatuvuruga kweli kweli shim yu Ryeon eti hajafa dah! Kweli katuweza aisee
Kwamba kakufa? I can't wait to watch it[emoji1787]Na Rona atafufuliwa hahaha hizi plot twist ni hatar...
[emoji3] tusubirKwamba kakufa? I can't wait to watch it[emoji1787]