Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nzuri ina kila aina ya vituko,mafundisho ya kutosha. Penthouse nshaikatia tamaa seasons si wangeiweka kwa mfumo wa episode 50 tujue moja na ukata huu ea mb sasa
Itabidi niitizame very soon.kwa penthouse wamezngua sana mambo ya seasons,ila kwa kweli kuipoteza meshindwa acha tu nipambane nayo πŸ™ˆπŸ™ˆ.
 
Asante my wangu
 
Hapo arang and the magistrate ndo sijaitazama.sijui kwann,naidownloading nafuta,sijui shida iko wapi
 
Nina chicago typewriter sijaimaliza episode moja maana kila nikianza kuangalia stimu inakata mpaka najiuliza sababu. Sasa na penthouse nao wanakuja na season zao ndo wameboronga japo sijaangalia hii ya pili. Naipotezea mpaka watoe ya mwisho.

Karibu ulimwengu wa family drama. Kuna uhondo huku
Itabidi niitizame very soon.kwa penthouse wamezngua sana mambo ya seasons,ila kwa kweli kuipoteza meshindwa acha tu nipambane nayo πŸ™ˆπŸ™ˆ.
 
Ina mambo ya mizimu na uchawi uchawi napenda kuona hivyo vitu hasa mizimu ya kwao wakorea inavyopikiwa mapochopocho.

Hio list ni ambazo nimeziona ndo maana sijaweka jumong(nipo episode ya nne)six flying dragons(sikuimaliza)
Hapo arang and the magistrate ndo sijaitazama.sijui kwann,naidownloading nafuta,sijui shida iko wapi
 
Umejua kunipa moyo ntaifatilia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chicago typewriter na mm sjamaliziaga ep 2 za mwsho.sijui nakwama wapi

Family drama na mm ni watu wawili tofauti.ntajitahidi lakini......nitaitazama hyo na SKY CASTLE
 
Ina mambo ya mizimu na uchawi uchawi napenda kuona hivyo vitu hasa mizimu ya kwao wakorea inavyopikiwa mapochopocho.

Hio list ni ambazo nimeziona ndo maana sijaweka jumong(nipo episode ya nne)six flying dragons(sikuimaliza)
😳😳😳Mbona series kali ndo umeziendea taratibu??hyo six flying dragons ulipata wapi ujasiri wa kuishia njiani?? kwakweli nilikesha alafu nilikua ntaifatilia ikiwa bado ongoing nilishindwa kuivumilia iishe.

Hiyo arang ngoja niieke kwny list......za mizmu ya uwongo na ukweli niliipenda gumiho na the scholar who walk at night (skumbuki jna vzuri)
 
Hio six aah sijui kwann sikuipenda kivile
Family drama nazipenda mno ila zinazoishia episode 50 tu japo kuna moja nilienda nayo mpaka mia ilikua nzuri
Umejua kunipa moyo ntaifatilia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chicago typewriter na mm sjamaliziaga ep 2 za mwsho.sijui nakwama wapi

Family drama na mm ni watu wawili tofauti.ntajitahidi lakini......nitaitazama hyo na SKY CASTLE
 
Hio six aah sijui kwann sikuipenda kivile

Family drama nazipenda mno ila zinazoishia episode 50 tu japo kuna moja nilienda nayo mpaka mia ilikua nzuri
Mm six ilinichanganya kwakweli.mmh family drama ngoja ntajaribu kuztazama world of married nimeishia episode ya 9πŸ™ˆπŸ™ˆ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…