family drama huwa naivutia mzigo wa kutosha kama episode 15, ikiwa nzuri naiangalia mpaka hadithi inaingia kwenye mishipa ya hisia na hatimaye huzalishwa sumu ya uraibu wa kupindukia (upo msalani unawaza episode ijayo).Huwa navuta moja moja kila nikiwa na ratiba ya kuvuta drama,family drama navuta episode moja au mbili mpaka zinakuja kutimia mbeleni
hakuna safari isiokuwa na kituo cha kufikia, fanya maandalizi ya kifkra yenye lengo la kukuacha huru na uraibu ulioupata kwa muda wote ulioutumia kuangalia project husika.Yaaaaan hizi zote nmeshindwa malizia ep za mwsho sijui shida ni nini🙈🙈au ndo impact za kufatilia ikiwa ongoing
nimeangalia, wameondoa kifurushi cha GB 3 kwa wiki
kweli kipokwangu bado kipo
family drama huwa naivutia mzigo wa kutosha kama episode 15, ikiwa nzuri naiangalia mpaka hadithi inaingia kwenye mishipa ya hisia na hatimaye huzalishwa sumu ya uraibu wa kupindukia (upo msalani unawaza episode ijayo).
Ikiwa mbaya unakula hasara inayoumiza
aigoo
Vugu vugu la LGBT linaingia taratibu nchi zilizo nje ya ulayasiku hizi sipqti hasara navuta episode tatu kwa nikiiangalia ikawa nzuri navuta yote. kuna family drama niliipenda nikavuta episode mbili kufika ya tatu naona dalili za ushoga kuangalia genre sijui theme nakuta mambo hayo nikaiacha
Bob swagger hiyo kwangu mimi ni best korean drama of all time storyline yake ni nzuri na tena unpredictable, wahusika wamecheza vizuri Sana, inaburudisha na kusisimua hisia na pia fikirishi yaani ina vigezo vyote vya ubora.Innocent defendant daa iko poa sana
Huo ni mtandao gani?🙌👏🤝
kifurushi chetu cha kujidai nyakati za usiku, mchana wanakupa GB 3 kwa shilingi 2000/=
Vugu vugu la LGBT linaingia taratibu nchi zilizo nje ya ulaya
nadhani hiyo ni ajenda inayolazimishwa kuingia kwenye tamaduni za nchi zote zinazoamini misingi ya haki za binadamu.
Utafauti upo kwenye scenes, kwa wengine ni ajenda ya series nzima (tamthilia za kimagharibi) na wengine wanaweka just short clips kuonyesha uungaji mkono wa kampeni hiyo ya usawa (hawajaliingiza hilo swala moja kwa moja, ni kama vile wanapima upepo wa watazamaji).
mfano mdogo ni hii mine drama, nimeangalia mpaka episode 2 ila nadhani huyu mke mkubwa (kim seo hyeong) ana siri yake ya kuwa ni lesbian.
acha tuendelee kuangalia tu, mambo yao tuwaachie wenyewe
View attachment 1787326
HalotelHuo ni mtandao gani?
Sawa ngoja nifanyie kazi ushauri wakohakuna safari isiokuwa na kituo cha kufikia, fanya maandalizi ya kifkra yenye lengo la kukuacha huru na uraibu ulioupata kwa muda wote ulioutumia kuangalia project husika.
Kati ya hizi niangalie ipi, jewel in the palace nshaiona.Drama nilizomaliza kuziangalia kwa mwaka 2021
- 3 days drama
- My sassy girl drama
- rain or shine drama
- second to last love drama
- I have a lover drama = episode 50 zisizochosha
- Temptation drama
Drama ninazoziangalia
- Taxi driver drama
- Undercover drama
- Mine drama
- Jewel in the palace drama
- One warm word drama
Yeah iko vizuri ingawa nimeangalia kitambo sana 2017,wakati bado ni "on going".Innocent defendant daa iko poa sana
Hiyo tax driver ni series?Drama nilizomaliza kuziangalia kwa mwaka 2021
- 3 days drama
- My sassy girl drama
- rain or shine drama
- second to last love drama
- I have a lover drama = episode 50 zisizochosha
- Temptation drama
Drama ninazoziangalia
- Taxi driver drama
- Undercover drama
- Mine drama
- Jewel in the palace drama
- One warm word drama
Korean drama "love story" inaitwa ( I'm sorry, I love you) ya mwaka 2004,daah ile story inagusa sana.Hizo ajenda zao zinatupa jkakasi tusiopenda yale mambo,inauma sana kuona mkaka mzuri kalegea nae anataka kuitwa mke badala ya mume daah
drama za mwaka huu napishana nazo sijui kwa sababu nimerudi miaka 2006 hado 2017. Za mwaka huu nimeangalia chache sana ntajitahidi niende nazo sambamba mara tu zinapoisha
Kati ya hizi niangalie ipi, jewel in the palace nshaiona.
Nmeona mwandish wa hyo Tax driver amevunja mkataba akiwa ameandika mpka episode 10.Naomba npe mrejesho hii drama is it worth to watchkwa mwaka 2021 nimeanza kuangalia undercover, taxi driver na mine drama (zote ni nzuri kwa jicho langu)
- I have a lover: ulimwengu fulani wa Infidelity (uchepukaji unaochangiwa zaidi na kuchoshwa na maisha ya mwenza wako), maisha ya chaebol na siri za kupata utajiri kwa njia ya dhulma na udanganyifu wa bidhaa, kisasi cha mdhulumiwa, wagombanao ndio warudianao (msingi wa hadithi upo hapa kwa kiasi kikubwa sana). Episode 50 zitakazokupa msisimko muda wote.
- 3 days: kikundi fulani cha wajanja wanapokuwa na mamlaka ya kuzicontrol siasa za nchi husika, kipi hutokezea pale mbwa anapokataa amri ya bwana (anapochoka kubwekeshwa)
- Temptation: tukio fulani lisilotarajiwa linavunja mahusiano ya wanandoa wawili wapendanao
- second to last love: mapenzi hayachagui umri wala muda, usitumie sana historia yako ya maisha yaliopita klama ni silaha ya kujilinda na mahusiano mapya. Hii itakupa love story ya pande mbili zilizokwishavuka umri wa miaka 39.9
Ipo vizuri kwa uoni wangu,Nmeona mwandish wa hyo Tax driver amevunja mkataba akiwa ameandika mpka episode 10.Naomba npe mrejesho hii drama is it worth to watch
Asante sanaa......ngoja nianze mdogomdogokwa mwaka 2021 nimeanza kuangalia undercover, taxi driver na mine drama (zote ni nzuri kwa jicho langu)
- I have a lover: ulimwengu fulani wa Infidelity (uchepukaji unaochangiwa zaidi na kuchoshwa na maisha ya mwenza wako), maisha ya chaebol na siri za kupata utajiri kwa njia ya dhulma na udanganyifu wa bidhaa, kisasi cha mdhulumiwa, wagombanao ndio warudianao (msingi wa hadithi upo hapa kwa kiasi kikubwa sana). Episode 50 zitakazokupa msisimko muda wote.
- 3 days: kikundi fulani cha wajanja wanapokuwa na mamlaka ya kuzicontrol siasa za nchi husika, kipi hutokezea pale mbwa anapokataa amri ya bwana (anapochoka kubwekeshwa)
- Temptation: tukio fulani lisilotarajiwa linavunja mahusiano ya wanandoa wawili wapendanao
- second to last love: mapenzi hayachagui umri wala muda, usitumie sana historia yako ya maisha yaliopita klama ni silaha ya kujilinda na mahusiano mapya. Hii itakupa love story ya pande mbili zilizokwishavuka umri wa miaka 39.9