Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Ni Swaumu tu Ila (바보)Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Swaumu tu Ila (바보)Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kali
Ila Nimejikuta Natamni Kumuona Kwenye Hii Character Yake Yakiuaji Naona Umu Ndo Kacheza Vizuri Zaidi. Ba ReumAisee mouth ep 15 inakuacha na suspense kubwa zaid ya ile ya kusubiri hotuba ya SHS, yaan ni thrill story sijawahi ona
Tena Kwa Sasa Na Hili Soko Na Netflix Izi Drama Tuzitarajie tu.Yani naomba nisikutane nazo hichi ndo kilichopunguza mapenzi na drama za wazungu
Kuna moja nilichek kwenye ongoing "nobleman ...wedding" kuchungulia comment ndo kujua wanaitwaga BL sijui, sijataka kujikera.
Kweli Kwa jins walivyo popular ilibid wawe washakua humo.Tena Kwa Sasa Na Hili Soko Na Netflix Izi Drama Tuzitarajie tu.
Uzuri Na Nachowapendea Wakorea Ni Maadili Ile Nchi Inajitahid Sana Kulinda Na Kuenzi Utamaduni Wao la Sivyo Ingekua Kama Hollywood.
Daah mimi nimecheka episode ya 13 jamaniNaona walikua katika ule mgomo alouandaa baba mtu Kwa kuwatumia wapangaji.
Ep ya 8 kila nikiiikumbuka nacheka Bado.
Hahaha nime I feel hiyo jamanDaah mimi nimecheka episode ya 13 jamani
Nishashusha can't wait kuitazamaTax driver Ni kwikwi
Hiyo ni moja ya drama kali iliyoingia kwenye list yangu apart of Penthouse na Mouse.Tax driver Ni kwikwi
Nafatilia kwa ukaribu kabisa babu usiyezeeka 🧐Taxi Driver drama 🙌👏👏
==========
next: Sell Your Haunted House drama
Daah yani ijumaa mpaka ijumaa hakika tutapata arosto ya kiwango cha juu Sana!kwa waliofuatilia penthouse drama, season 3 itarudi tarehe 4 ya mwezi June.
Tofauti na season zilizomalizika, season 3 itaonyeshwa mara moja tu kwa kila wiki.
Itakuwa ni siku ya Ijumaa pekee.
niwatakie uangaliaje mwema kwa watakaobahatika kufika
===================
nafikiri familia nzima ya SBS bado hawajatosheka na umaarufu waliokwisha upata kupitia hii drama, kuweka mfumo wa episode 1 kwa kila wiki tafsiri yake wanahitaji kutrends kwa wiki 12 na si wiki 6 kama ilivyokuwa kwa season 2.
Labda huenda pia wamefanya hivyo kwa kuwa wanafahamu ratiba ya muendelezo wa hospital playlist ambayo pia inarudi mwezi June 17, tukumbuke hospital playlist ilijizolea umaarufu mkubwa sana ndani na nje ya korea.
nimeiona vita ya kimaslahi isiokuwa na uchoyo ndani yake.
sisi tuendelee kuuziana mishikaki ya mbwa utadhani wamasai wamechoka kufuga ng'ombe.
Mouse ni moto kumbe, ngoja niiendelezee niliishia episode ya 4..Jaman Mouse inanitesa Ila nimo, nimetizama episode Ya 15 usiku Sasa kulala namuwaza bareum anakuja kuniua.
That level of psychopath sijawah ona in drama level uwii.
Nitaimaliza Ila itanipa enough trauma lol
Actress Cheon Jeong Ha Of “Mouse” Passes Away
Actress Cheon Jeong Ha has passed away at the age of 52, On April 28, her family revealed
“She was found dead in her home the previous day. She had been suffering from low blood pressure. The cause of death is thought to be cardiac arrest due to low blood pressure and congestive heart failure.”
View attachment 1766482
Who are you?endelea kufuatilia mjukuu, ukiwa na maswali, shida kwenye huo ulimwengu wa wavimba macho jisikie huru kuniuliza.
Natanguliza salamu kwako
Kwamba hofu yao ipo hapo kwenye sentensi ya mwisho?hukimbilia uhuru wa kimaisha unaochangiwa zaidi na kazi wanazozifanya.
oooohhhh kumbe lee min ho akilala anakoroma
Mimi binafsi nimekuchoka...sijui wenzangu
- mwanamme
- aliyezaliwa mwishoni mwa karne ya 20
- jurgen klopp
Wawe wanakaa hata na wasaidizi wa ndani basi, mbona wale wanaotuonyesha kwenye drama zao huwa wako loyal sanani mfano tu usiokuwa na uhalisia.