Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi drama kiupande wangu ipo na cast wazur na maadhari nzuri Ila story imekaa kibongo movie, like seriously mpangilio wa matukio inabid ujifanye hamnazo ili uinjoy makasirikoHivi kuna drama moto moto Kama #PENTHOUSE..
June naona parefu Sana...Sijui nn ktaendelea Logan lee Ni kweli kafa KWA bomu lile[emoji29]
Bae rooNa sijui watakuwa pamoja. Na seok hoon?
Huyu rafiki wa mr Baek( joo dan dae) Ni story nyingine tena[emoji848]
Kuna tetesi cast inaweza badilika hivi Ni kweli?
Mi naona wakifanya hivo wataharibu kwakweli.... View attachment 1760333
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makasirikoHi drama kiupande wangu ipo na cast wazur na maadhari nzuri Ila story imekaa kibongo movie, like seriously mpangilio wa matukio inabid ujifanye hamnazo ili uinjoy makasiriko
Life is beautiful episode 63 family drama
Hahaha mimi sikuelewa pale hivi nini kilitokea?vicenzo episode ya kwanza tu nimecheka mno. Jamani suti orijino ikageuzwa kijora cha bongo ambacho kikifuliwa kinapungua urefu😂😂😂😂.
Bado ugomvi wa mtu na mwanae hasa kuzuiana kuhusu picha za utotoni daah
Dong Yi ndio series yangu bora ya muda wote. Hiyo Dae jang gum( Jewel) naipenda sana. Yi san navutiwa na story yake piaWewe waweza kuwa miongoni mwa watazamaji wachache na wa kipekee katika ulimwengu wa tasnia ya drama sababu kuna idadi kubwa ya watu siku hizi wanaopenda kuangalia drama fupifupi. Wakianza kuangalia asubuhi, usiku unasakwa mzigo mpya wa kuangaliwa kesho yake. Kwa wiki moja tu mtu anaweza kumaliza hata drama 10 au zaidi.
Vijana wana msemo wao wanasema "kasi ya 4G".
Drama ndefu hasa historical ambazo ni nzuri mtafute mtu mmoja anayeitwa Lee Byung-hoon. Huyu mzee ame-direct miongoni mwa drama kali za historical ambazo zimepata kukubalika sana katika tasnia.
Miongoni mwa hizo drama alizohusika huyo mzee ambazo kwangu ni nzuri na pia ni ndefu ni hizi hapa tano:
1) Lee San (Yi San) ya mwaka 2007 ambayo ina 77 episodes.
2) Dong Yi ya mwaka 2010 yenye 60 episodes.
3) The Flower in Prison ya mwaka 2016. Ina 51 episodes.
4) Horse Doctor ya mwaka 2013 yenye 50 episodes.
Bila kusahau ya tano; Jewel in the Palace ya mwaka 2003 yenye 54 episodes. Kama ni shule, basi hii ni chekechea maana kupitia drama hii, kuna list ndefu sana ya wadau ulimwenguni walioanza kuwa wapenzi wa Korean historical drama na utamaduni wa Korea kwa ujumla.
Nina imani kuwa hizi tano zitakidhi haja yako!
Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kaliAisee mouth ep 15 inakuacha na suspense kubwa zaid ya ile ya kusubiri hotuba ya SHS, yaan ni thrill story sijawahi ona
Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kali
Hahaha mimi sikuelewa pale hivi nini kilitokea?
Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kali
Naona walikua katika ule mgomo alouandaa baba mtu Kwa kuwatumia wapangaji.Yule dobi aliipunguza vipimo anzia urefu wa mikono hadi upana wake maana suti ilikua inamtosha vyema vicenzo angalia alipotua airport ila baada ya kufuliwa haikumtosha mikono mifupi na urefu wa koti hadi upana vyote vimepungua akasingizia ni suti feki ndo maana ilipofuliwa ikapungua
Haya umeshinda.innocent dependat acha dharau kwa wenzio kuwaita wapuuzi kisa hujapenda recommendations zao.
una ujinga sana kijana kutaka kulazimisha unachoamini ndicho wote wakifate.
umebadili jina kla bado una ujinga ule ule wa kujiona bora kuliko wengine
Naona walikua katika ule mgomo alouandaa baba mtu Kwa kuwatumia wapangaji.
Ep ya 8 kila nikiiikumbuka nacheka Bado.
Yani naomba nisikutane nazo hichi ndo kilichopunguza mapenzi na drama za wazungummmh hii drama ni nzuri ila imenibidi niishie episode ya tatu ndipo nilipoishia kuvuta. maana kuna u gay humo halafu ndio wahusika wakuu. Boring
Enjoy taratiibnaitamani hio episode ya 8 maana ndo kwanzaa nipo ya kwanza
Yani naomba nisikutane nazo hichi ndo kilichopunguza mapenzi na drama za wazungu
Kuna moja nilichek kwenye ongoing "nobleman ...wedding" kuchungulia comment ndo kujua wanaitwaga BL sijui, sijataka kujikera.
Hee makubwa...kwa nini alifanya hivyo sasa. Ujue mimi nilishangaa, dobi na tape measure wapi na wapi?Yule dobi aliipunguza vipimo anzia urefu wa mikono hadi upana wake maana suti ilikua inamtosha vyema vicenzo angalia alipotua airport ila baada ya kufuliwa haikumtosha mikono mifupi na urefu wa koti hadi upana vyote vimepungua akasingizia ni suti feki ndo maana ilipofuliwa ikapungua
Hee makubwa...kwa nini alifanya hivyo sasa. Ujue mimi nilishangaa, dobi na tape measure wapi na wapi?
Haha noma sanalabda sababu ni ule mgogoro walionao hapo akaona amkomeshe kwa muharibia suti