Unaweza kushangaa logan ajafa huyu mwandishi anapenda kuchanganya vichwa vya watuSijapenda kabsaaa penthouse 2 ilivyoisha kulikua kuna ulazima wa logan lee kufa😠😠😠.waandishi wengne bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kushangaa logan ajafa huyu mwandishi anapenda kuchanganya vichwa vya watuSijapenda kabsaaa penthouse 2 ilivyoisha kulikua kuna ulazima wa logan lee kufa😠😠😠.waandishi wengne bana
Kichwa chake.......imekuaje seo jin hajajulikana alipelekea kifo cha baba yake?Unaweza kushangaa logan ajafa huyu mwandishi anapenda kuchanganya vichwa vya watu
Hivi siku kuna movie inaitwa tax driver ya kikorea or mi ndo nachanganya mafile??nataka kukesha nazo episode 3 za hii drama inayoitwa taxi driver, episode 1 nimeshaiangalia mchana wa leo.
kwa wapenzi wa action hii itakufaa.
ipo vizuri sanaaaa
==============
Kim Do Ki is a mysterious driver for the taxi company whose mother was murdered. Kang Ha Na is a passionate attorney. Go Eun is an IT specialist, while others consider her a hacker. Along with Kim Do Ki, she works as part of Rainbow Taxi Company to solve people’s problems.
View attachment 1755895
inaitwa a tax driver, imeigizwa na song kang ho wa parasite kama umeiangaliaHivi siku kuna movie inaitwa tax driver ya kikorea or mi ndo nachanganya mafile??
Oooh oky basi nilishaitazama nikashia njiani....Parasite bonge la picha nimeiona nzuri,alinikosha sana humu.tena nilikua nafatilia movie zake baada ya kumuona kwenye the good the badinaitwa a tax driver, imeigizwa na song kang ho wa parasite kama umeiangalia
Wewe waweza kuwa miongoni mwa watazamaji wachache na wa kipekee katika ulimwengu wa tasnia ya drama sababu kuna idadi kubwa ya watu siku hizi wanaopenda kuangalia drama fupifupi. Wakianza kuangalia asubuhi, usiku unasakwa mzigo mpya wa kuangaliwa kesho yake. Kwa wiki moja tu mtu anaweza kumaliza hata drama 10 au zaidi.Naombeni mnitajie historical drama nzuri ndefu sio hizi za 16 episodes
Asante kwa recommendation.Kwa Anaetafuta Drama Ya Kuangalia Na Pendekeza Hizi Kwa Sasa
1.MOUSE- 마우스 - Kati Ya Drama Bora Kwangu Kwa Sasa Japo Inanipa Wakati Tata Ninapoiangalia Bae (Seung gi) Umu Ndani Kaua ni On-going Ipo Ep Ya 11 Kwa Sasa Kila Jumatano na Alhamisi Ni Nzuri Sana.
2. Vincenzo - Kwanza Iko Popular Sana Kwa Sasa Korea Na Ata Nje Ya Korea Nayo Pia Ni On-going Ina Vivitu Flani Ivyi ambavyo Vinakufanya Usahau ata Ya Dunia.
Duh! Kwa masharti hayo, drama itakapoisha unaweza kujikuta umehitimu shahada ya sheria bila cheti!law school imenivutia ila
kama hujapitia shule ya sheria halafu kichwa chako kikawa ni chepesi kama cha kwangu tafadhali
nimeuanza mwaka 2021 kwa kuangalia hii drama,
- tafuta kamusi la sheria kama lipo karibu
- tafuta course content ya masomo yanayohusiana na fani ya sheria 😛 😛
- lazima uwe na internet pembeni
- fanya marejeo kwa kila episode utakayoingalia😛😛
leo mchana niliangalia weeee mpaka ikafikia hatua nikawa nakoroma, ngeli ngumuuu(legal jargons)
niwape kongole wale wote waliosoma sheria na ingilishi yao ya kibabe
nimeamua kutokuzifuta episode 2 za mwanzo mpaka nitakapozirejea tena.
===================
View attachment 1755875
Asante..drama fupi za mjini nimeangalia sana zimenichosha..nataka nigeukie upande wa pili kwa muda then ntaendelea na fupi [emoji16]Wewe waweza kuwa miongoni mwa watazamaji wachache na wa kipekee katika ulimwengu wa tasnia ya drama sababu kuna idadi kubwa ya watu siku hizi wanaopenda kuangalia drama fupifupi. Wakianza kuangalia asubuhi, usiku unasakwa mzigo mpya wa kuangaliwa kesho yake. Kwa wiki moja tu mtu anaweza kumaliza hata drama 10 au zaidi.
Vijana wana msemo wao wanasema "kasi ya 4G".
Drama ndefu hasa historical ambazo ni nzuri mtafute mtu mmoja anayeitwa Lee Byung-hoon. Huyu mzee ame-direct miongoni mwa drama kali za historical ambazo zimepata kukubalika sana katika tasnia.
Miongoni mwa hizo drama alizohusika huyo mzee ambazo kwangu ni nzuri na pia ni ndefu ni hizi hapa tano:
1) Lee San (Yi San) ya mwaka 2007 ambayo ina 77 episodes.
2) Dong Yi ya mwaka 2010 yenye 60 episodes.
3) The Flower in Prison ya mwaka 2016. Ina 51 episodes.
4) Horse Doctor ya mwaka 2013 yenye 50 episodes.
Bila kusahau ya tano; Jewel in the Palace ya mwaka 2003 yenye 54 episodes. Kama ni shule, basi hii ni chekechea maana kupitia drama hii, kuna list ndefu sana ya wadau ulimwenguni walioanza kuwa wapenzi wa Korean historical drama na utamaduni wa Korea kwa ujumla.
Nina imani kuwa hizi tano zitakidhi haja yako!
scalethat ndio mzee kuna season ya 3 na nilivyosikia inatoka julyKichwa chake.......imekuaje seo jin hajajulikana alipelekea kifo cha baba yake?
Kwan ina season 3.
missyrose naomba unitajie drama Kali nikaangalie ambazo sitapoteza mb zangu ninaomba muongozo wako maana nimegundua wewe na mimi tuna taste zinazofanana hii vincenzo nimeangalia episode 1 tu nimeona utopolo mtupu masiala ni mengi nimeamua niachane nayo.Asante..drama fupi za mjini nimeangalia sana zimenichosha..nataka nigeukie upande wa pili kwa muda then ntaendelea na fupi [emoji16]
Usinikumbushe wakat natizama Money Game zile financial terms yani sikuwa naelewa hata Ila ndo nakomaa mpaka mwisholaw school imenivutia ila
kama hujapitia shule ya sheria halafu kichwa chako kikawa ni chepesi kama cha kwangu tafadhali
nimeuanza mwaka 2021 kwa kuangalia hii drama,
- tafuta kamusi la sheria kama lipo karibu
- tafuta course content ya masomo yanayohusiana na fani ya sheria [emoji14] [emoji14]
- lazima uwe na internet pembeni
- fanya marejeo kwa kila episode utakayoingalia😛😛
leo mchana niliangalia weeee mpaka ikafikia hatua nikawa nakoroma, ngeli ngumuuu(legal jargons)
niwape kongole wale wote waliosoma sheria na ingilishi yao ya kibabe
nimeamua kutokuzifuta episode 2 za mwanzo mpaka nitakapozirejea tena.
===================
View attachment 1755875
ila usisahau thamani ya bando limeongezekaAsante..drama fupi za mjini nimeangalia sana zimenichosha..nataka nigeukie upande wa pili kwa muda then ntaendelea na fupi [emoji16]
Hiyo vincenzo jikaze ukifika ep ya 3 uje hapa,missyrose naomba unitajie drama Kali nikaangalie ambazo sitapoteza mb zangu ninaomba muongozo wako maana nimegundua wewe na mimi tuna taste zinazofanana hii vincenzo nimeangalia episode 1 tu nimeona utopolo mtupu masiala ni mengi nimeamua niachane nayo.
Kabisamoney game drama nayo ilikuwa tafrani tupu ila baadae nilikwenda nayo vizuri, hapo ndipo tunapouona ubora wa wenzetu na uandishi wao uliojaaa tafiti za kisomi juu ya jambo fulani wanalotaka kuliwasilisha kwa njia ya sanaa.
ila usisahau thamani ya bando limeongezeka
Recommendations nimetoa humu humu kwenye huu uzi ngoja nikitulia ntakutajiamissyrose naomba unitajie drama Kali nikaangalie ambazo sitapoteza mb zangu ninaomba muongozo wako maana nimegundua wewe na mimi tuna taste zinazofanana hii vincenzo nimeangalia episode 1 tu nimeona utopolo mtupu masiala ni mengi nimeamua niachane nayo.
Wi-Fi za watu..nikikamatwa sasa[emoji2957][emoji2957]ila usisahau thamani ya bando limeongezeka
Nitafurahi Sana kama utanitajiaRecommendations nimetoa humu humu kwenye huu uzi ngoja nikitulia ntakutajia
Binafsi nisipoielewa episode ya kwanza siwezi kuangalia Tena hiyo drama bando langu linathamani Sana ina utoto mwingi hata huyo star hajanivutia kiuchezaji kabisa mbona vagabond, Last, innocent defendant, empress ki, Penthouse,Mouse,Jumong,K2 n.k zinaeleweka kuanzia tu episode 1Hiyo vincenzo jikaze ukifika ep ya 3 uje hapa,
Yani ni nzuri mno mno uyo Song Joo ki so wa mchezo mchezo.
Humo kila mtu star hadi njiwa- INZAGHI