Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ID Kama Naijua Ivyi Alishawah Kuepogi Umu Akawa Anasumbua Hivyi Hivyi Sijui Niyeye.Hiyo vincenzo jikaze ukifika ep ya 3 uje hapa,
Yani ni nzuri mno mno uyo Song Joo ki so wa mchezo mchezo.
Humo kila mtu star hadi njiwa- INZAGHI
Annyeong Chingu.Taxi Driver drama 🙌👏👏
==========
next: Sell Your Haunted House drama
AiseeBinafsi nisipoielewa episode ya kwanza siwezi kuangalia Tena hiyo drama bando langu linathamani Sana ina utoto mwingi hata huyo star hajanivutia kiuchezaji kabisa mbona vagabond, Last, innocent defendant, empress ki, Penthouse,Mouse,Jumong,K2 n.k zinaeleweka kuanzia tu episode 1
Na Mimi nishaipata wacha nipitie hiviHii ID Kama Naijua Ivyi Alishawah Kuepogi Umu Akawa Anasumbua Hivyi Hivyi Sijui Niyeye.
INZAGHI Kaua Wameamua Kuwapa Wanyama Nao Nafasi Kama Navyoona Paka Kwenye Mouse.
Ngoja nijaribu Airtel, huko TTCL mda mwingine hta silali speed ya kono konoJaribu kuangalia airtel *148*88# kisha 3 kisha 6. Hope sitawahiwa kama halotel sina hamu nao walipoondoa unlimited faster kule kwa application yao
waendeleaje professor kim eun suk na darasa lako la civil code/law, mbona wamuogopa mtuhumiwa atembeae akiwa uhuru bwana lee man ho.Annyeong Chingu.
Tax Driver ndo Nataka Itazama.
Law School Nayo ni 🔥.
Ramadhan Kareem Na Kwako Pia.waendeleaje professor kim eun suk na darasa lako la civil code/law, mbona wamuogopa mtuhumiwa atembeae akiwa uhuru bwana lee man ho.
==========
Taxi driver inanikumbusha balaa la the fiery priest, ukihitaji kulipiziwa kisasi kwa sababu ya madhila unayofanyiwa bonyeza button ya blue kwenye game yako then tutakusaidia.
===========
Ramadhan kareem
Haha haha Na Macho Yake Anavyoyazungusha Matendo Yake Anaonekana Nae Si Mzima Ile Nyumba Sidhan Kama Kuna Mzima Vincenzo Alikuja Vizuri Ona Naye Sasa Kaharibika.Na Mimi nishaipata wacha nipitie hivi
Hahahaha yani nimependa kila actor ana play big role Kwa episode yake. Nampenda Yule dada kama jini anaongega pembeni mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] kabisaHaha haha Na Macho Yake Anavyoyazungusha Matendo Yake Anaonekana Nae Si Mzima Ile Nyumba Sidhan Kama Kuna Mzima Vincenzo Alikuja Vizuri Ona Naye Sasa Kaharibika.
Unatumia PC?Nimeshusha law school Bado sijatizama ila
Mkuu hii The flower in prison ni nzuri?Wewe waweza kuwa miongoni mwa watazamaji wachache na wa kipekee katika ulimwengu wa tasnia ya drama sababu kuna idadi kubwa ya watu siku hizi wanaopenda kuangalia drama fupifupi. Wakianza kuangalia asubuhi, usiku unasakwa mzigo mpya wa kuangaliwa kesho yake. Kwa wiki moja tu mtu anaweza kumaliza hata drama 10 au zaidi.
Vijana wana msemo wao wanasema "kasi ya 4G".
Drama ndefu hasa historical ambazo ni nzuri mtafute mtu mmoja anayeitwa Lee Byung-hoon. Huyu mzee ame-direct miongoni mwa drama kali za historical ambazo zimepata kukubalika sana katika tasnia.
Miongoni mwa hizo drama alizohusika huyo mzee ambazo kwangu ni nzuri na pia ni ndefu ni hizi hapa tano:
1) Lee San (Yi San) ya mwaka 2007 ambayo ina 77 episodes.
2) Dong Yi ya mwaka 2010 yenye 60 episodes.
3) The Flower in Prison ya mwaka 2016. Ina 51 episodes.
4) Horse Doctor ya mwaka 2013 yenye 50 episodes.
Bila kusahau ya tano; Jewel in the Palace ya mwaka 2003 yenye 54 episodes. Kama ni shule, basi hii ni chekechea maana kupitia drama hii, kuna list ndefu sana ya wadau ulimwenguni walioanza kuwa wapenzi wa Korean historical drama na utamaduni wa Korea kwa ujumla.
Nina imani kuwa hizi tano zitakidhi haja yako!
Well nasikia hii ni scenario iliyopo sasa Korea kuhusu mbakaji na hukumu ya Muda mfupi ndo maana na kwenye mouse wame dedicate kuhusiana na hili tukio.juraedong hit and run case (ushahidi wa CCTV)
kumbe hii ilikuwa ndio kesi iliyowakutanisha mtuhumiwa lee man ho na prosecutor seo byong ju, kupitia marejeo ya matukio ndani ya episode 2 tulipata kulishuhudia hili tukio kwa uwazi, wakati lee man ho anafanya tukio la ubakaji kuna mtoto fulani alifanikiwa kushuhudia mchezo wote. Lee man ho akawa anamfukuza huyo dogo kwa lengo la kumdhuru na bahati mbaya wakati dogo anakimbia akagongwa na gari nyeusi na dereva wa hiyo gari akakimbia jambo ambalo ni kosa kisheria.
sasa kesi ikawaangukia mabwana wawili prosecutor seo byong ju na prosecutor Yang Jong-Hoon (kabla hajarudi chuoni kusomesha na kuwa professor). Wakati lee man ho anafanyiwa mahojiano juu ya kesi yake ya ubakaji aliulizwa swali lifuatalo
je! ulifanikiwa kuiona plate number ya gari iliomgonga mtoto na baadae dereva kukimbia?
lee man ho akawa anajibu sijaiona namba ya gari na wala siikumbuki vizuri tukio kwa sababu nilikuwa nimelewa huku pia akisaidiwa kujibu hivyo na prosecutor seo byong ju.
kumbe kuna uwezekano mkubwa prosecutor seo byong ju alipewa rushwa na muhusika wa hili tukio la ajali ili akwamishe uchunguzi wa kesi hiyo, swali linakuja atawezaje kukwamisha uchunguzi huo haliyakuwa yupo shahidi aliyeshudia tukio hilo ambaye ni lee man ho. Jibu lake ni rahisi, afanye mpango wa kumyamazisha lee man ho kwa kumuandikia kifungo chepesi cha hukumu yake ya kutoka ubakaji na mauaji ya bila ya kukusudia ya huyo mtoto aliyekuwa anamfukuza na hatimaye kugongwa na gari. Si hivyo tu na hata alipotoka gerezani bwana lee man ho aliamua kumwajiri kazi ya udereva.
====================
Han Joon-Hwi na mjomba wake ambaye ni former prosecutor seo byong ju:
licha ya kwamba ni mjomba wake kijana han hakuwa akivutiwa hata kidogo na aina ya maisha aliyokuwa akiyaishi huyo mjomba wake ya kupenda kwake kula rushwa nyuma ya pazia lakini akiwa mbele ya jamii anaigiza utakatifu. Si ajabu ndio maana Han hakuona tabu kuongoza mapambano ya kusaini petition ya kutokukubaliana na uamuzi wa chuo kumuajiri mjomba wake mwenye.
usisahau vita ya urithi wa mali alioachiwa na mjomba wake inayokwenda kuleta mgogoro kati ya mke wa mjomba ambaye anaonekana kutokuridhishwa na uamuzi wa kupewa urithi bwana mdogo, kwa mujibu wa trailer mke wake anaamini mauaji ya mumewe yanatokanwa na ishu za mirathi.
ukiniuliza je ni kweli han joo alihusika na mauaji ya mjomba wake?
jibu sifahamu, labda tumuulize muandishi (작가 = jagganim) na pd nim
Hapana nashusha kwenye simu tuUnatumia PC?
Msaaada app ya kushusha Korean dramKwa wale niliowatag sehemu flani hukoo kuhusu bando la usiku mnisamehe tu halotel walitoa faster. Ila saiv wamerudisha kwa menu yao japo ni ile ile gb 5 kwa 1500.
Msaaada app ya kushusha Korean dram
Wakuuu msaaada nataka kushusha Korean drama je app ya kushushia sina na cjui msaada kwenu