Haha si bora mezani ...anatemea humohumo kwenye bakuli. Halafu kuna ile mtu anapika, anachota na kijiko hicho hicho anachopikia anaonja mchuzi na kama umebaki anarudishia humohumo. Mimi huwa nasema wakorea hawaoneani kinyaa kushea mateWananiacha hoi pale kwenye kukoholea chakula kaambiwa kitu kidogo tu eti anapaliwa na kutemea msosi wootee mezani. bado ule wali wanachanganya kwenye bakuli kuuubwaaa wanashea wengi tena kwa fujo wakorea bana
Haha si bora mezani ...anatemea humohumo kwenye bakuli. Halafu kuna ile mtu anapika, anachota na kijiko hicho hicho anachopikia anaonja mchuzi na kama umebaki anarudishia humohumo. Mimi huwa nasema wakorea hawaoneani kinyaa kushea mate
Hivi mnaposema watu wanataka kuishi maisha ya kwenye tamthiliya mnazungumzia hizi hizi ambazo na mimi naangalia au...? Maana mimi kwa kadri ninavyofahamu drama nyingi nilizoangalia lead actress huwa na maisha ya kawaida au ya chini kabisa..hhata kwa wafilipino nimeona ni hivyo hivyo. In my opinion, kama wadada wakisema waishi kufuata mifano ya kwenye drama basi tutakuwa na wanawake wazuri sana
Lakini si wanakuwa wamepata bahati tu kama ambavyo hata sisi huku mtu anaweza kubahatika sio kwamba wanakuwa wametumia juhudi zozote kuwasakaYaani yale maisha ya kuokota bahati. hao lead actress mwisho wa siku wanatokea kupendwa na vijana wa kitajiri mara paap maisha yanabadilika kutoka kwenye umaskini hadi utajiri bila wao kusotea mara kusema aanzane na kijana mwenzie maskini waje watajirike mbelen baada ya kusota sana
Na kutapika...yanapenda kutapika balaa, eti mtu anafokewa unashangaa huyoo anaenda kutapika😂😂😂😂Hio tabia huwa inanifanya nikunje sura utadhan mie ndo ninayeandaliwa huo msosi. Wanamambo mengi ya ajabu ajabu
Lakini si wanakuwa wamepata bahati tu kama ambavyo hata sisi huku mtu anaweza kubahatika sio kwamba wanakuwa wametumia juhudi zozote kuwasaka
Naombeni majina ya series nzuri na za kusisimua za kikorea za kifalme mithili ya JUMONG,six flying dragons,empress Ki,crowned clown,Dong Yi, emperor of the sea(naitafuta) n.k
Umesema kutapikaNa kutapika...yanapenda kutapika balaa, eti mtu anafokewa unashangaa huyoo anaenda kutapika
Asanteongezea na hii web series inayoitwa EXO next door.
episode zake ni wastani wa robo saa
binafsi sijabahatika kuiangalia(no comment)
hawa member waliotumika ni wa EXO kweli, yupo baek hyun, exo chanyeol, exo d.o, kai mzee wa dance, suho
===================
Ji Yeon Hee is a 23 year old girl, who hasn't yet dated because she blushes terribly and is completely paralysed when she's near a good looking boy. One day, four members of EXO are trying to keep a low profile, and move into the house of one of the member's grandfather.
However, it turns out that EXO members' house is right in front of Yeon Hee's house.
Watch EXO Next Door Episode 1 online with English sub | KissAsian
Watch and download EXO Next Door with English sub in high quality. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Inastahili kabisaAliyeiona VINCENZO vipi inastahili bando langu?
Inastahili kabisa
nakumbuka huko nyuma niliwahi kukuwekea link ya wikipedia iliyo contain list ya korean historical drama, sikutegemea kama utarudi tena na dai hiliNaombeni majina ya series nzuri na za kusisimua za kikorea za kifalme mithili ya JUMONG,six flying dragons,empress Ki,crowned clown,Dong Yi, emperor of the sea(naitafuta) n.k
Ahsante sana...ila sio mm hii link ndo naiona leo!!!!nakumbuka huko nyuma niliwahi kukuwekea link ya wikipedia iliyo contain list ya korean historical drama, sikutegemea kama utarudi tena na dai hili
100+ Best Korean Historical Drama Series Of All Time
Watch 100+ best Korean historical drama series of all time since the 1990s. I compiled the latest Korean historical drama series for you. See the full list.mgaspary.com Korean historical dramas in chronological order (105 shows) - MyDramaList
105 titles for Korean historical dramas in chronological order: The Legend, Jumong, The Kingdom of the Winds, Ja Myung Go, Yeon Gae Somun, Sword and Flower, King Gwanggaeto the Great, Kim Soo Ro, King Geun Cho Go, The King's Daughter and Soo Baek Hyangmydramalist.com
Natazama sana mzee. Ngoja nianze shusha NONDO.SteveMollel zicheki hizi utafurahi kwa roho yako "Innocent defendant" kwangu hii ndio best drama of all time nyingine zakuzicheki ni Penthouse, The last, The mask woman na kiporini The empress ki zote hizo zimefutia Sana story zake zimeshiba haswa kuna wakati unaona bando lako linathamani ndogo kuliko ukubwa wa hizo drama.
Ila inategemea ntu na ntu. Mimi kuna mtu aliniambia king maker nzuri ila hadi leo mb zangu zinaniuma...sasa hivi namalizia Designated survivorNgoja niitafute aisee
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Halafu anakaa kabisa chini. Nadhani vyoo vyao sio kama vya kibongo huwenda wenzetu wamestaarabika. Kuhusu kutapikia chooni mimi nadhani ni utaratibu mzuri kabisaUmesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Chakula kirahis ni rameyen siiivo ni side dish za kufa mtu.Na mie nimekumbuka asubuh hawapigi mswaki ni shaa mezani hamna cha chai wala mkate bali wali na mboga mboga mia kidogo. Wale wa diet wanakula majani majani waliyochanganya matunda kidogo