Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Haujaielewa maana yangu dada Khantwe ,kuna baadhi ya vitu vinabaki kuwa tamaduni za wakorea au wafilipino, sasa unakuta mdada wa kibongo anataka aige kila kitu anachojifunza kupitia hizo drama kisha akilete kwenye uhalisia wa maisha au mapenzi ya kibongo,ukikuta msela kakaza hawezi muelewa[emoji2].Hivi mnaposema watu wanataka kuishi maisha ya kwenye tamthiliya mnazungumzia hizi hizi ambazo na mimi naangalia au...? Maana mimi kwa kadri ninavyofahamu drama nyingi nilizoangalia lead actress huwa na maisha ya kawaida au ya chini kabisa..hhata kwa wafilipino nimeona ni hivyo hivyo. In my opinion, kama wadada wakisema waishi kufuata mifano ya kwenye drama basi tutakuwa na wanawake wazuri sana
Ukitaka kuamini kama jamii na utamaduni wake, angalia vijana wa sikuizi wanaojiweka softsoft (lainilaini), kama wale wanaume wa kikorea, wengi wao wanaishiwa kudhaniwa kuwa ni mashoga.