Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sio wameishiwa content sema ni ucahguz wa drama nzuri kwa miaka ya hivi karibun channel nyingi ni kweli hazitoi drama nzuri lakin bado kuna channela kama TVN na JTBC wow hawa naweza nika waita wafalme wa hizi kazi
Kaangalie

Mouse
Vicenzo
Mr.Queen
Kingdom
Crash landing on you
Sky castle
World of married
Hospital playlist
Doom at your service
Youth of may
Sawa mkuu, ngoja nizitafute.
 
Homosexuality sio taboo kwao sema kwa baadhi ya watu.Ila msimamo wa nchi haikatazi wala sio kosa la kisheria ndio maana kuna ma celleb ambao wako open kua ni gays
Ni kama sisi tu... Tuna kifungu cha sheria kinachokataza homosexuality?
 
Sio wameishiwa content sema ni ucahguz wa drama nzuri kwa miaka ya hivi karibun channel nyingi ni kweli hazitoi drama nzuri lakin bado kuna channela kama TVN na JTBC wow hawa naweza nika waita wafalme wa hizi kazi
Kaangalie

Mouse
Vicenzo
Mr.Queen
Kingdom
Crash landing on you
Sky castle
World of married
Hospital playlist
Doom at your service
Youth of may
Mkuu, hebu nipe majina ya series tatu kali za kikorea za kufanana na Iris na Athena. Nataka nihangaike nazo kuanzia kesho
 
Sasa kumbe hujui vitu emotional vilichezwa zamani? Hawa wa leo wanarudia tu.
Yeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch it
 
Vipi kuhusu ENDLESS LOVE ya mwaka 2017?
 
Yeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch it
Nimetizama dream high ya 2011 nikafeel unachokisema nimeishia ep ya 2 tu. Nadhan arrogance ya HYe mi, imechangia.

Nimepata musical drama nzuri "imitation" Ila iko aired once in a week[emoji52]
 
Back
Top Bottom