Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha kama mimi..bahati mbaya nilikuwa nimeshusha yote ikabidi niangalie tu hivyo hivyo kwa kulazimisha..sawa na Flower of
Ahsante kwa hii komenti yako madame...ndio ilikuwa inafuatia baada ya hii ninayoangalia sasa
HahahandioAh mimi..bahati mbaya nilikuwa nimeshusha yote ikabidi niangalie tu hivyo hivyo kwa kulazimisha..sawa na Flower of Evil
 
Nitaitafuta hio

Maisha ya saiv wengi wanapenda kuishi kwa maigizo
Itafute mkuu hautajuitia, ingawa kwenye episode za mwanzo (1-3) imepoa kidogo. Wakati naicheki nilitaka kuishia episode 2,ila nilivyokomaa nayo nilijikuta sitamani iishe.


Ulishawahi kuangalia series mpaka ukafikia hatua ya kutamani kukutana na wahusika live?[emoji23]
 
Yaani kwakweli hizi season ni kali nataka niirudie Six flying dragon, nikitoka hapo nahamia kwa nchina season inayo itwa Nirvana in fire maana hakuna kama season hizo tena kwa sasa.
Sijui wakorea wameishiwa content? Mara ya mwisho kuangalia drama ya kikorea iliyonikamata ni mwaka juzi, ile VAGABOND.
 
Duuuh jamaa unaipenda sana "Innocent defendant",ila kinachonishangaza kuna I'd nyingine ya Innocent defendant nayo inasifia sana hizo drama kila uchwao, napata wasiwasi kuwa hizi I'd ni za mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…