Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ongeza na hizi, jingbirok na emperor wang gun. Emperor wang gun ni mzuri sana kwa kuwa imeelezea matukio mengi sana makubwa makubwa kama kupanda kwa matreya buddah, kuanguka kwa shilla, leter three kingdoms. Kutokea kwa magin na taibong empire, fall of balhae kingdom. Raise of wang gun into power, restall the koryeo empire and unification of leter three kingdom (shilla, hubaekje, hugoguryeo) zote zikawa great koryeo
 

Nitaiweka ktk list yangu ya mwaka huu.
Ila kwa matukio hayo inaonekana nitaiangalia mwezi mzima!
 
Hizi ndo movie zangu nimejikuta naijua historian ya Korea kwa kuangalia dramas.
 
Korean movie nazikubali sana, bahat mbaya sijawahi kuangalia episodes zote za movie nilizoangalia.
1.jumong
2.three days
3.arrows on the bowstring.
 
Kiongozi naomba unitumie
 
Umeona eeh? Yaani mimi pamoja na roho yangu ngumu nililiaa
Nililia pale Yeon Woo alipofanyiwa mauchawi akaumwa sasa alipokuwa anatolewa nje ya palace crown prince alivyokuwa analia...
Uwiiiiiii

Na hata pale Yeon alipokufa acha tu.
Wakorea wanajua bwana [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…