Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nililia pale Yeon Woo alipofanyiwa mauchawi akaumwa sasa alipokuwa anatolewa nje ya palace crown prince alivyokuwa analia...
Uwiiiiiii

Na hata pale Yeon alipokufa acha tu.
Wakorea wanajua bwana [emoji119]
Aisee achana kabisa na hawa watu. Ndio maana mi nlikuwa nashangaa zikitajwa historical drama hii haitajwi??
 
Labda wengi hawajaiona,mimi ndio kwanza nipo episode ya 9,kama sio The bold ningeshaimaliza Wallah [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utaachika uambiwe ukaolewe na yule Kim Soo Hyun shauri yako we waendekeze hao wakorea wako
 
Uwiiiiiiii hiyo nikiipata yote basi hata talaka nijiandae kupewa kabisa maana nitakuwa ktk ulimwengu wangu mwenyewe kwa mwezi mzima.
Hatari sana.

Check ile post, nime-update links!
 
e69f189a93be9c7ae078bc843a166945.jpg
Mkuu kaangalie Temptation

s1.myasia-1.ir - /Temptation/
 
Mkuu Freelancer, naipataje descendant of the sun? Msaada tafadhali.
Huyo jamaa na jina lake la wakala kaingilia ID yangu. Mimi ndo nina copyright ya kutumia Freelancer @2008...Huyo mzuuzi sijui alikula maharage ya wapi naye akaanza ku masquerade kama Freelancer. Umuona ha mkimtag mnaishia kuni tag mimi ambaye ndo original Freelancer na sio huyo mdori wa kichinaa 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom