Mask ya 2015? Nimeiona hiyo..ni nzuriItafute drama inaitwa mask utafurahi kwa roho yako na utanishukuru binafsi najua taste za drama za Wanawake wanazopenda kama uliipenda Penthouse basi hiyo "mask" utaipenda pia.
Kabisa hiyo Vincenzo ni ya hovyo sana nimeangalia episode 1 tu haikunivutia nikaamua niachane nayo angalia hiyo "Mask" ni Kali Sana utanishukuru sana
Nipo episode ya 10..hadi mbavu zinauma kuna waigizaji sura zao tu ni comedy tosha dah[emoji38][emoji38]Kuhusu vincenzo sijui ila Mr Queen niliinjoi sana aisee sikujutia kabisa bando langu. Na ili uinjoi zaidi inatakiwa uwe
mtazamaji wa historical drama......uusiache kuleta mrejesho
Ina vi comedy sana nayo..nilichoona japo kwa kuchelewa ni kuwa wakorea wana great sense of humor..hata kwa series ya kawaida hutokosa kucheka hapa na pale [emoji1787]
Kumbe unaipata ndio hiyo hiyoMask ya 2015? Nimeiona hiyo..ni nzuri
Queen ni kiboko..anavyokaa kiugomvi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisa na kwa mr queen kuna comedy hasa bifu ya queen na king bado queen na wakwe zake kisha queen na mpishi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Queen ni kiboko..anavyokaa kiugomvi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mno..amecheza vizuri sana. Nikiimaliza nitaleta mrejesho full[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo binti nimempenda kavaa uhusika na uhusika ukamvaa vizuri
Nampenda sana mwanae Yi Bang Won.Yaani ni genious na akiamua kitu lazima kitimie.But kwangu mm naonaga founder wa Joseon alikua Jeong Do Jeon Maarufu kama Sambong.General was just a first King.Ila bro umeelezea vizur mnoHatmaye Nimeimaliza "The Age of warriors", yenye episode 158. Hii series haikuwaelezea tawala za kijeshi kama ingeelzea zote basi tungekuwa Episode 300 na kuendelea.
Nadhani hakuna series nyingine yoyote iliyojawa na vipaji na masuperstar kuliko hii, toka nimeanza kuangalia Korean Drama, hii imevunja record ya kuwa na mastaa wengi na wenye vipaji vikubwa. Jambo la kufurahisha kwenye episode ya mwisho nipale baada ya msimulizi wa history anatupa summary ya kule tulipoanzia mpaka hapo mwisho, kisha anafanya Tathmini juu ya watawala wa kijeshi hao na Yi songgye( founder of Joeson) wanautofauti gani why walikuwa na uwezo wa kuwa Wafalme lakini waliiuacha ukoo wa Wang Madarakani kama puppet Kings wakati nguvu Mamlaka ilikuwa mikononi mwa Wanajeshi Hao, Lakini masomo tuliyopata kwenye historia ya watu hao. Kwahiyo niseme hii series ilipikwa kitaalam sana. Iliandaliwa na KBS.
List ya watawala wa Kijeshi(Goryeo )
1.Yi ui Bang (muda wa utawala miaka 5)
Aliuwawa na Jeong Jung Bu
2. Jeong Jung Bu (miaka 5), aliuwawa na Kyeong Dae Seung aliyekuwa na umri wa miaka 26.
3. Kyeong Dae Seung( miaka 4)
Alikufa kwa Maradhi baada ya kupewa sumu na mlinzi wake( Kim Ja kyuk) ambaye alikuwa Rafiki yake wa karibu. Baada ya kifo Chake Yi ui min ambaye alikuwa mlinzi wa Yi ui Bang ali - conquer Mji mkuu na kuchukua Madaraka.
4. Yi Ui Mini( miaka 13) aliuwawa na Choi cheong heon
5.Choi cheong heon(miaka 24) alirithisha madaraka kwa Mwanae( Choi woo)
Drama yetu( Age of warriors)iliishia kwa Choi Cheong heon.
6. Choi woo(miaka 30) alirithisha kwa mwanae Choi Hang
7. Choi hang( miaka 8) akarithi mwanae Choi Ui
8. Choi Ui(mwaka 1) akawauwawa na Kim Jun
9. Kim Jun( miaka 10) akauwawa na Im yeon ambaye alijiadaptisha kwa Kim Jun, na Kumuita Baba.
10. Im yeon(miaka 2) mtoto wake akarithi( Im yu mu
11. Im yu mu( mwaka 1) kisha akakonkwa na Mongol Dynasty ambayo muda wote ilikuwa na Vita dhidi ya Korea( Goryeo Dynasty)Tangu zama za Mwisho wa Utawala wa Choi Cheong heon. Hawa jamaa walipigana kwa miaka mingi hatmaye Goeyeo wakaenda chini ya Mongols and Yuen Dynasties.na ndio ulikuwa mwisho wa zama za utawala wa kijeshi. Miaka karibu 80 ilipopita ndipo General Choi Young na Yi Songgye walipoanza mapambano na Mongols na Yuan waliposhinda vita na kuikomboa Koryeo toka mikononi mwa wa wamongoli na wayuan.
View attachment 1809922
NOTE; Yi Songgye mwanzilishi wa Joseon Dynasty alikuwa ni zao la familia ya Yi In, ambaye alikuwa ni mdogo wa General Yi ui Bang. Huu ukoo wa kina Yi ui bang ulikuwa wa Mageneral, maana Baba yao pia alikuwa General, hata Yi Songgye kabla ya kuwa mfalme alikuwa ni General wa Goryeo.
Ooooh... Vicenzo for me was so dope.Sema hua sipend lead actres awe na mawenge kama vile but all in all it was worth watchingNimemaliza Vincenzo..sijajua ni kusifiwa sana ndio kukafanya niangalie nikiwa na high expectations au ni vipi..nimeona ya kawaida tu.
Nipo na Mr. Queen muda huu..ngoja tuone
Ji sung this man is awesome kama ukiona Kim So Roo,Kill me heal me na innocent deffendant he did wonderful work.Inshaallah kitakachofuata baada ya hapo
wote hao sikuwahi kuwapa heshima inayostahili kupitia kazi zao, nitailazimisha nafsi yangu izipende project za hao wanadamu bila ya kujali mwaka husika wa projects zao.
- operation so ji sub
- operation ji sung
waswahili wana msemo wao "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Ukipata time angali 30 but 17 ya hyo dada ni nzur munooMno..amecheza vizuri sana. Nikiimaliza nitaleta mrejesho full
Haha yule binti kaua sana mle ndaniNipo episode ya 10..hadi mbavu zinauma kuna waigizaji sura zao tu ni comedy tosha dah[emoji38][emoji38]
Hata kutembea...yaani hakuna kdrama nilicheka kama hiiQueen ni kiboko..anavyokaa kiugomvi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaambiwa Kwenye Revolt ya mwaka 1170 Yi Ui mini ndiye aliyeweka rokodi ya kuuwa watu wengi. Hata ile mishkaji yake Yi Ui Bang kina Yi Ko na Chewaon hawakumzidi Yi Ui Min, pamoja na ubabe wote waliokuwa nao. Yi ui mini walikuwa wakimuita The Killing Machine na wakati wa uongozi wa ulipelekea kuitwa the Prime minister of Devils.Unajua hili dude mwaka jana sikulifuatilia
nakumbuka niliishia episode za 90 baada ya archfield Yi Ui Mini kurudishwa mji mkuu na bwana mfalme
acha niangalie schedule itakavyokuwa nipate kushitua kiporo.
wale jamaa zake waliokuwa wanamtia ujinga alifufue taifa la shilla sijui waliishiaje.
wana mkakati wengine wanafurahisha sana,
unataka kuirudisha dola ya chagga ndani ya Tanzania inayochechemea
utapigwa mpaka uchakae
Hahaha Pyongyang Jiji la Nyumbani, kuna mengine kama Ansiseong, Gungneseong, Yodongseong, mokjeoseong, Gwanmmseong na zingine nyingi. Dah! Gogryeo nimepamiss sana.na itakuwa series ndefu sana itakayobeba kwa mtiririko historia ya wafalme watano.
Nitafurahi sana kama watatuletea wanaume waliolelewa jeju, busan, pyeongyang ndio waziongoze hizo chronicles.
hawa waliozaliwa seoul watuache kwanza wenye jambo letu.
Kila mtu alinde kilichochake.munaendelea kulinda mila na utamaduni usio wahusu kwa nguvu ya mshale,
Yi Songgye anatajwa sababu ya kulinda hadhi ya Mfalme, ni sawa ilivyo kwa Goryeo aliyeanzisha ni King Gung Ye, kisa tu udikteta wake uliwafanya wanahistoria wamtenge, na heshima kapewa Wang Gun, ambaye aliongoza mapinduzi ya kumpindua Gung ye.Nampenda sana mwanae Yi Bang Won.Yaani ni genious na akiamua kitu lazima kitimie.But kwangu mm naonaga founder wa Joseon alikua Jeong Do Jeon Maarufu kama Sambong.General was just a first King.Ila bro umeelezea vizur mno
ndio maana waliweza kusurvive kwa takribani miaka 30 ya vita yao dhidi ya MongoliaUkweli ni kwamba hata hawa Goryeo walikuwa si wazembe kama Joseon
Ji sung mara nyingi nimekuwa nikimuepuka ndio maana nimeamua kumweka tena kwenye list ya waigizaji nitakaoangalia project zao papo kwa papo. Project zake nilizoziangalia niJi sung this man is awesome kama ukiona Kim So Roo,Kill me heal me na innocent deffendant he did wonderful work.
umefurahi baada ya kuwataja hao wapakaji wa lipstick wa kiume?Umenifurahisha sana sunbae