sote tunaishi pamoja kwenye huu ulimwengu wa maigizo, namba twaziandika pamoja na kuzipiga pamoja.Kwenye ubora wako daah hayo yote unayafatilia utadhani hauishi kwenye ulimwengu wetu wa kuisoma namba.
mara hii bado sijapata mzigo wa family drama wa kusogezea mwaka.Nipo busy na utengenezaji wa noodles sijui ndo tambi zetu hizi ndani ya a hundred year's inheritance kwama kawaida family drama ya ep 50
Wapaka lipstic ila wanakufanya ukeshe. Umenifurahisha kurudisha jinaumefurahi baada ya kuwataja hao wapakaji wa lipstick wa kiume?
baniani mbaya kiatu chake dawa.Wapaka lipstic ila wanakufanya ukeshe. Umenifurahisha kurudisha jina
Ngoja niweke kwenye bucket list..NDUGU ZANGU HABARI ZENU
Leo nimetumia weekend yangu kucheki drama hii inaitwa "Dangerous Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Fatal Promise" kiukweli hawa wa korea wanajua kweli kweli si masiala sasa hivi nipo episode ya 28 lakini mwisho wa hii drama ni episodes 104 hiv, nilicho notes kuanzia episode 1 ni moto mpaka sasa yaani ni drama ambayo ina amsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila inapoisha episode unatamani kuangalia inayofuata.Kiufupi kila episode inatumia nusu saa.Pamoja ya kuwa hii drama ina matukio ya kuvutia lakini pia ina love story ndani yake ya maana si kama nilizowahi kuangalia ya hii ni ya kipekee ambayo inagusa maisha yetu kiujumla.
Binafsi me sio mpenzi wa love story lakini ya hii drama nimeikubali mno ni [emoji91], ni drama ambayo hujuti kupoteza bando lako ina mtihiririko mzuri wa story inayomvutia mtazamaji kuangalia zaidi.
Jambo lingine niliyokubali kwenye hii drama haina utoto mastaa waliocheza wa hii drama wapo serious hawana uweuweu kitu ambacho inaongeza mvuto zaidi wa drama.Asikuambie mtu pamoja na kuwa napenda Sana mpira lakini Jana sijaangalia mpira na leo pia singalii kwaajili ya hii drama.
NB: Nimeona ndugu zangu tushehe mambo mazuri na nyie kama hivi.
Khantwe
Daemusin
missyrose
Numbisa
kdrama_masters
aminas
Ngoja niweke kwenye bucket list..
Kwa sasa naangalia Love ft Marriage and Divorce japo naona kama inanichosha..ubaya wa kutoka kuangalia drama nzurii (Mr. Queen) afu nakutana na hii design kama imepooza[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaze hivyo hivyo
Aisee kumbe ndio maana nafsi inagoma naangalia kivivu tangu jana ndo nipo episode 4..Mmh hapo umepata hasara. Halafu sijui nani aliwadanganya masuala ya season yaani story ilikua inaenda vizuri tu ghafla wakairefusha na kuweka vipande wanavyojua wao wakaishia njiani ati kusubiria season two
Kuna moja ni ya wachina inaitwa Empire and tribes the strom of propheciesYaani kwakweli hizi season ni kali nataka niirudie Six flying dragon, nikitoka hapo nahamia kwa nchina season inayo itwa Nirvana in fire maana hakuna kama season hizo tena kwa sasa.
1. Quuen Seon DukNaombeni majina ya series nzuri na za kusisimua za kikorea za kifalme mithili ya JUMONG,six flying dragons,empress Ki,crowned clown,Dong Yi, emperor of the sea(naitafuta) n.k
missyrose hiyo ipotezee itakupotezea muda angalia hiyo niliyokuambia "fatal promise"uone utamu wa dunia episode 1 tu ipo moto trust me utakuja kunipa hapa shukrani sasa hiv nipo episode ya 34 yaani balaa tupu.Hii drama nimeivulia kofia yaani ni zaidi ya Penthouse na Mr Queen kwa upande wangu.Aisee kumbe ndio maana nafsi inagoma naangalia kivivu tangu jana ndo nipo episode 4..
Penthouse iko season 3 ila ina upuuzi mwngi kama utaamua kuishia season 2 it'll be gud.Penthouse vs Memorist vs Vincenzo Ipi ni kali?
Nasikia Logan Lee kauwasha motoPenthouse iko season 3 ila ina upuuzi mwngi kama utaamua kuishia season 2 it'll be gud.
Vicenzo wow what a drama imetulia mno kama ww ni mpenzi wa zile drama ambazo zimepoa story inaenda slow ila very catching.So nakushaur uchek Vicenzo
Mwandishi kamleta pacha wake Logan Lee ambae amepewa muonekano kama American rapper.Yaani rasta na Mi tattoo kibao kitu ambacho kimewakacrisha wengi sanaNasikia Logan Lee kauwasha moto
Nimetizama ep 1 ya hii season 3 Ila niliskip balaa...
Lah! Nitaitazama. Wame I prolong mwisho iwaharibikieMwandishi kamleta pacha wake Logan Lee ambae amepewa muonekano kama American rapper.Yaani rasta na Mi tattoo kibao kitu ambacho kimewakacrisha wengi sana
1.PenthousePenthouse vs Memorist vs Vincenzo Ipi ni kali?
Ahsante sana kwa pendekezo lakoLeo nimetumia weekend yangu kucheki drama hii inaitwa "Dangerous Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Fatal Promise" kiukweli hawa wa korea wanajua kweli kweli si masiala sasa hivi nipo episode ya 28 lakini mwisho wa hii drama ni episodes 104 hiv, nilicho notes kuanzia episode 1 ni moto mpaka sasa yaani ni drama ambayo ina amsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila inapoisha episode unatamani kuangalia inayofuata.Kiufupi kila episode inatumia nusu saa.Pamoja ya kuwa hii drama ina matukio ya kuvutia lakini pia ina love story ndani yake ya maana si kama nilizowahi kuangalia ya hii ni ya kipekee ambayo inagusa maisha yetu kiujumla.