Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwenye ubora wako daah hayo yote unayafatilia utadhani hauishi kwenye ulimwengu wetu wa kuisoma namba.
sote tunaishi pamoja kwenye huu ulimwengu wa maigizo, namba twaziandika pamoja na kuzipiga pamoja.

Nipo busy na utengenezaji wa noodles sijui ndo tambi zetu hizi ndani ya a hundred year's inheritance kwama kawaida family drama ya ep 50
mara hii bado sijapata mzigo wa family drama wa kusogezea mwaka.
kuna moja inafanya vizuri sana inaitwa revolutionary sisters kama nitakuwa sahihi
 
NDUGU ZANGU HABARI ZENU

Leo nimetumia weekend yangu kucheki drama hii inaitwa "Dangerous Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Fatal Promise" kiukweli hawa wa korea wanajua kweli kweli si masiala sasa hivi nipo episode ya 28 lakini mwisho wa hii drama ni episodes 104 hiv, nilicho notes kuanzia episode 1 ni moto mpaka sasa yaani ni drama ambayo ina amsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila inapoisha episode unatamani kuangalia inayofuata.Kiufupi kila episode inatumia nusu saa.Pamoja ya kuwa hii drama ina matukio ya kuvutia lakini pia ina love story ndani yake ya maana si kama nilizowahi kuangalia ya hii ni ya kipekee ambayo inagusa maisha yetu kiujumla.

Binafsi me sio mpenzi wa love story lakini ya hii drama nimeikubali mno ni 🔥, ni drama ambayo hujuti kupoteza bando lako ina mtihiririko mzuri wa story inayomvutia mtazamaji kuangalia zaidi.

Jambo lingine niliyokubali kwenye hii drama haina utoto mastaa waliocheza wa hii drama wapo serious hawana uweuweu kitu ambacho inaongeza mvuto zaidi wa drama.Asikuambie mtu pamoja na kuwa napenda Sana mpira lakini Jana sijaangalia mpira na leo pia singalii kwaajili ya hii drama.

NB: Nimeona ndugu zangu tushehe mambo mazuri na nyie kama hivi.

Khantwe
Daemusin
missyrose
Numbisa
kdrama_masters
aminas
 
NDUGU ZANGU HABARI ZENU

Leo nimetumia weekend yangu kucheki drama hii inaitwa "Dangerous Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Fatal Promise" kiukweli hawa wa korea wanajua kweli kweli si masiala sasa hivi nipo episode ya 28 lakini mwisho wa hii drama ni episodes 104 hiv, nilicho notes kuanzia episode 1 ni moto mpaka sasa yaani ni drama ambayo ina amsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila inapoisha episode unatamani kuangalia inayofuata.Kiufupi kila episode inatumia nusu saa.Pamoja ya kuwa hii drama ina matukio ya kuvutia lakini pia ina love story ndani yake ya maana si kama nilizowahi kuangalia ya hii ni ya kipekee ambayo inagusa maisha yetu kiujumla.

Binafsi me sio mpenzi wa love story lakini ya hii drama nimeikubali mno ni [emoji91], ni drama ambayo hujuti kupoteza bando lako ina mtihiririko mzuri wa story inayomvutia mtazamaji kuangalia zaidi.

Jambo lingine niliyokubali kwenye hii drama haina utoto mastaa waliocheza wa hii drama wapo serious hawana uweuweu kitu ambacho inaongeza mvuto zaidi wa drama.Asikuambie mtu pamoja na kuwa napenda Sana mpira lakini Jana sijaangalia mpira na leo pia singalii kwaajili ya hii drama.

NB: Nimeona ndugu zangu tushehe mambo mazuri na nyie kama hivi.

Khantwe
Daemusin
missyrose
Numbisa
kdrama_masters
aminas
Ngoja niweke kwenye bucket list..

Kwa sasa naangalia Love ft Marriage and Divorce japo naona kama inanichosha..ubaya wa kutoka kuangalia drama nzurii (Mr. Queen) afu nakutana na hii design kama imepooza[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nikaze hivyo hivyo
 
Mmh hapo umepata hasara. Halafu sijui nani aliwadanganya masuala ya season yaani story ilikua inaenda vizuri tu ghafla wakairefusha na kuweka vipande wanavyojua wao wakaishia njiani ati kusubiria season two
Ngoja niweke kwenye bucket list..

Kwa sasa naangalia Love ft Marriage and Divorce japo naona kama inanichosha..ubaya wa kutoka kuangalia drama nzurii (Mr. Queen) afu nakutana na hii design kama imepooza[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nikaze hivyo hivyo
 
Aisee kumbe ndio maana nafsi inagoma naangalia kivivu tangu jana ndo nipo episode 4..
missyrose hiyo ipotezee itakupotezea muda angalia hiyo niliyokuambia "fatal promise"uone utamu wa dunia episode 1 tu ipo moto trust me utakuja kunipa hapa shukrani sasa hiv nipo episode ya 34 yaani balaa tupu.Hii drama nimeivulia kofia yaani ni zaidi ya Penthouse na Mr Queen kwa upande wangu.
 
Penthouse iko season 3 ila ina upuuzi mwngi kama utaamua kuishia season 2 it'll be gud.

Vicenzo wow what a drama imetulia mno kama ww ni mpenzi wa zile drama ambazo zimepoa story inaenda slow ila very catching.So nakushaur uchek Vicenzo
Nasikia Logan Lee kauwasha moto
Nimetizama ep 1 ya hii season 3 Ila niliskip balaa...
 
Penthouse vs Memorist vs Vincenzo Ipi ni kali?
1.Penthouse
Kwa korea drama zilizotoka mwaka Huu na mwaka Jana hii ndio best story ina ubunifu mwingi ina matukio yakuvutia na pia ni unpredictable
2.Memorist

Hiyo Vincenzo ni utopolo mtupu haipo serious ina utoto mwingi haifahi kuwekwa kwenye class moja na Penthouse na Memorist
 
Leo nimetumia weekend yangu kucheki drama hii inaitwa "Dangerous Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Fatal Promise" kiukweli hawa wa korea wanajua kweli kweli si masiala sasa hivi nipo episode ya 28 lakini mwisho wa hii drama ni episodes 104 hiv, nilicho notes kuanzia episode 1 ni moto mpaka sasa yaani ni drama ambayo ina amsha amsha kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila inapoisha episode unatamani kuangalia inayofuata.Kiufupi kila episode inatumia nusu saa.Pamoja ya kuwa hii drama ina matukio ya kuvutia lakini pia ina love story ndani yake ya maana si kama nilizowahi kuangalia ya hii ni ya kipekee ambayo inagusa maisha yetu kiujumla.
Ahsante sana kwa pendekezo lako
Unajua tokea nianze kufuatilia sanaa za maigizo ya nchi ya korea sijawahi kuangalia daily dramas.
Daily dramas ni zile drama zinazoonyeshwa kuanzia jumatatu hadi Ijumaa ya wiki majira ya saa 1 usiku kwa saa za korea (zikimaliza daily drama ndio baadae hufuata hizi drama tuzipendazo zinazoonyeshwa majira ya saa 4 usiku),

mara nyingi hizi daily drama zinakosa wale waigizaji maarufu kwenye tasnia ya sanaa ya korea ndio maana si ajabu zinakosa mashabiki wengi wa kuzifuatilia hususani kwa mashabiki walio nje ya korea, Huwezi kumshuhudia lee min ho, seo in guk, kim soo hyun, hyun bin, won bin, jang hyuk, cho seung woo, song hye khyo, park shin hye, han jin min, ha ji won n.k n.k n.k
hata ukija eneo la biashara na gharama za uzalishaji hakuna shaka yeyote hizi drama zinatumia bajeti ndogo sana kwa sababu ya ukosefu wa waigizaji wenye umaarufu.

Kwa sasa sitaifuatilia hiyo drama ila pendekezo huenda nitakuja kulitumia kama ni sababu moja wapo ilionishawishi niingie kwenye ulimwengu wa ufuatiliaji wa daily dramas kwa siku hizo za mbeleni.
Wewe endelea kuburudika na hiyo project na kadri utakapopata projects nyenginezo usichoke kutuletea mapendekezo kama unavyoendelea kufanya.

Nikushuru kwa mara nyengine tena dongsaeng kwa pendekezo lako
 
Back
Top Bottom