Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Korean Drammas nilianza na;
-Jumong enzi zile inarushwa ITV na ndio dramma yangu ya kila wakati.
-Ya kijijini
Nilipenda ilivyoanza kwa Main Actor Prince Jumong kuwa na maisha fulani ya kijinga naweza sema ya kupenda wasichana na kutokujua kitu sababu alidhani he was truly a son of Emperor Kumwa, lakini baada ya kugundua kuwa Hae Mossu ndio baba yake that thing completely changed his lifestyle naa ndio hapo naona hii dramma ikaanza kuwa nzuri.

-Msanii wangu bora wa kiume ni Il Guk Sung (Jumong) Pia yumo kwenye Movie kama Crime Squad (Ya mjini), na wa kike Ni Sohsuno ( kwenye Jumong) Mtoto wa Lord Yuntabal the Merchant.
- Sexiest Actor ni City Hunter sijui jina lake nani halisi na Sexiest Actress kwangu ni yule dada wa kwenye IRIS
-Dramma yangu ya kwanza kuiona ni JUMONG labda ndio maana naipenda sana
-Hakuna dramma ninayoitafuta kwasababu nina Drama5 downloader kwahiyo dramayoyote niitakayo naipata hapo ni bundle langu tu na muda basi.

Sasa kuna Dramma naiangalia ndio nipo episode ya 63 usiku huu inaitwa KING GWANGGAETTO ni ya kijijini ni nzuri sana viwango vya kama JUMONG hutojutia kuiona. Pia kuna Warrior Baek Dong Soo ya kijijini pia niliiipenda, pamoja na Iljimae.
Mpaka sasa dramma za kikorea nilizoziangalia na kuzipenda ni;
-Jumong
-slave Hunter
-The Land Of Wind
-Great Queen Seondeokh
-Painter Of the Wind
-Pirrates of... (Jumong humu kaigiza pia jina limenitoka kidogo)
-King Gwanggaetto
-Warrior Baek Dong Soo
-Faith
-City Hunter
-Iris
-A Man Called God
-Athenna
-Bad Guy
-Crime Squad
-A Moment To Remember
-Black
- A flower in the prison
-Criminal Minds
- Bad Guys
- Defendant
- Six Flying Dragons
- The Night Watchman
- Grand Prince
 
Dah mmenigusa aisee napenda kdrama hatar toka ionyeshwe ya kwanza kabisa kipind kile ITV inaitwa winter sonata mpaka Leo nishakua addicted nadhan nishawatch kama 80 hivi ila I wish nipate myul Wong the spy,the cunning lady, the suspicious housekeeper, my princess, prime minister and I, stair way to heaven, joseon gunman, arirang and the magistrate na a woman who still wants to marry dah mwenye nazo anisaidiee
 
Nimewah kuangalia street hunter. Jumong na baadh lakin jiant nimeipenda zaid
 
Nimeangalia kama kumi hivi mpaka sasa, hivi sasa nimemaliza Kingdom of wind nipo naicheki Queen Seon Duk
 
Jamani aliyeangalia Inspiring Generation aniambie ikoje, maana nimeangalia episode mbili bado haijanivutia nifah and co
 
Last edited by a moderator:
Jamani aliyeangalia Inspiring Generation aniambie ikoje, maana nimeangalia episode mbili bado haijanivutia nifah and co

Uwiiiiii ni nzuri sana my dear, tena sana.Hapo mwanzo inazingua lakini ukisonga mbele utakuja kuniambia.
Yupo yule mvulana aliyecheza Boys Over Flowers aliyekua anaitwa Jang Woo kama sikosei.
 
Last edited by a moderator:
Jamani aliyeangalia Inspiring Generation aniambie ikoje, maana nimeangalia episode mbili bado haijanivutia nifah and co

Mie pia nimeangalia kitu haikunivutia pia ila wengine wanasema nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiii ni nzuri sana my dear, tena sana.Hapo mwanzo inazingua lakini ukisonga mbele utakuja kuniambia.
Yupo yule mvulana aliyecheza Boys Over Flowers aliyekua anaitwa Jang Woo kama sikosei.

Thanks dear ngoja nitaendelea nayo nione,kama si nzuri utalipa fine
 
Mie ndiyo nataka nianze kuangalia Bad guys halafu ndiyo nitafuatia four gods maana ndefu.

Hizo ni za mjini au kijijini? Angalia halafu utuambie kama ni nzuri tuzitafute.
Pia utuambie na mastar waliomo humo.
 
Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuziona...


Em taja ulizoziona na ww....

The painter of the wind
Jumong
Joseon gun man
Ilijmae
Warrior baek dong soo
Four Gods
Arrows on the bow string
Faith
Heirs
Night watchman
Bride of the century
Moon embraces the sun
I miss you
To the beautiful you
Good doctor
Personal preferences
Angels eyes
Na nyingine nimesahau

Movies
Blind
Millionaires first love
100 days with mr arrogant
 
The painter of the wind
Jumong
Joseon gun man
Ilijmae
Warrior baek dong soo
Four Gods
Arrows on the bow string
Faith
Heirs
Night watchman
Bride of the century
Moon embraces the sun
I miss you
To the beautiful you
Good doctor
Personal preferences
Angels eyes
Na nyingine nimesahau

Movies
Blind
Millionaires first love
100 days with mr arrogant

Mkuu hiyo four gods ni nzuri kweli maana ndiyo nataka nitafute niitizame?

Hiyo I miss u ndiyo nimetoka kuangalia namba 2.
 
Mimi nimeangalia nyingi kweli ila nilizozipenda sana ni
JUMONG
LAND OF THE WIND
THE ROYAL PRINCESS(Hizi zote ni muendelezo wa Jumong).
YI SAN
DONG YI
JEWEL IN THE PALACE
QUEEN SECONDDEOK
KING GWANGGAETO
GYE BAEK
JANG OK JUNG
THE HEIRS
BOYS OVER FLOWERS
ROOFTOP PRINCE
A MAN CALLED GOD
STAIRWAY TO HEAVEN
KINGS FACE
CITY HUNTER
THE NIGHT WATCHMEN
A MANS STORY
A MAN FROM ANOTHER PLANET.
IRIS
FOUR GODS
FAITH
MOON EMBRACES THE SUN
PERSONAL TEST
 
Mimi nimeangalia nyingi kweli ila nilizozipenda sana ni
JUMONG
LAND OF THE WIND
THE ROYAL PRINCESS(Hizi zote ni muendelezo wa Jumong).
YI SAN
DONG YI
JEWEL IN THE PALACE
QUEEN SECONDDEOK
KING GWANGGAETO
GYE BAEK
JANG OK JUNG
THE HEIRS
BOYS OVER FLOWERS
ROOFTOP PRINCE
A MAN CALLED GOD
STAIRWAY TO HEAVEN
KINGS FACE
CITY HUNTER
THE NIGHT WATCHMEN
A MANS STORY
A MAN FROM ANOTHER PLANET.
IRIS
FOUR GODS
FAITH
MOON EMBRACES THE SUN
PERSONAL TEST

Dah hizi movie nimezikosa sana sikuhizi, nazikubali sana historical drama zao
 
Back
Top Bottom