Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yupo vizuri mno
Yani wanatamanisha kuwaona, Yule kaka namna anavyomtizama seol A hadi unasikia raha tu
Shukrani maana eti nilikosa cha kuangalia nikishamakiza list zangu
Niko zangu na
Monthly magazine home
Bossam...
The devil judge
Hospital playlist
Nevertheless
Kingdom- ashin sijataka kupitwa na trend

Na nimepata episode za ha hyun woo kwenye king of mask singer Adi najionea donge nitavoanza kuitazama.
 


Round hii nimeibukia mwaka 1999 na kigongo safi kabisa kiitwacho "HUR JUN (THE ORIGINAL STORY) " hii series iko zaidi ya makini na imeandaliwa na Lee Byung Hoon. Baadhi ya kazi alizowahi kufanya ni Dong Yi( Jewel in the Crown), Dae Jang Geum( Jewel of the Palace), Yi san( Wind of the Palace), King's Doctor, Flower in Prison na nyingine nyingi sana.
Kwahiyo full Burudani nilichogundua Series za zamani tamu sana, na hazichoshi, na pia huyo mzee hajawahi kubahatisha master
Daemushin sasa hivi mwanafunzi wako naanza kukushinda tabia. Hii ni safari ya episode 60 +
Na huu ni mwaka 1999. Niko epispde ya 6.
 
mwalimu wangu wa nursery ana elimu ndogo na alinifundisha silabi, sentensi na nambari mpaka nikawa mbobezi.
yawezekana kwa sasa nimemzidi kielimu ila bado historia yangu dhidi yake haiwezi kufutwa kwa kigezo cha elimu yangu kubwa dhidi yake (yeye atabaki kuwa ni mwalimu mpaka akhera)

wewe endelea kuongeza vyeti vya elimu lakini usisahau kunipa heshima yangu na pia usisahau kunitumia japo pesa ya chumvi na dagaa kadri unapoongezeka msahahara wako, si unajua walimu wa TZ tulivyo na shida ya mkwanja na makato haya ya kodi mpaka laini zetu tunaziogopa kubonyeza menu ile.


waendeleaje mdogo wangu (dongsaeng)?
 
Huenda umechanganya poster ulioweka au pia inawezekana umejichanganya kwa kila kitu kinachohusu project husika.
Heo jun (hur jun) drama zipo mbili, ipo ya mwaka 1999/2000 na nyengine ni ya mwaka 2013.
  1. heo joon ya mwaka 1999 iliongozwa na director lee byung hun kama ulivyogusia lakini waigizaji wakuu si hao uliowaambatanisha kwa lugha ya picha kama ni ushahidi wako. Project ya mwaka 1999 iliongozwa na Jeon Kwang Leol ambaye kupitia drama ya prince of the legend (maarufu jumong) aliigiza uhusika wa mfalme geumwa.
  2. project ya mwaka 2013 ndio iliopewa jina la Hur Jun, the Original Story, Project hii iliongozwa na marehemu kim ju hyeok.
swali nalirudisha kwako, unaangalia ipi kati ya hizo mbili?
 
Mie naendelea vizuri kabisa. Ni mwendo wa kazi sasa. Na nimeanza dude lingine linaitwa Sangdo.
Hiyo ya Geumwa, nadhani nimechanganya poster,
Lakini Dude ni la huyo mkali Geumwa.
1999/2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…