Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mr Queen kwangu mimi ndio best korean drama kwakweli,yule queen mle ni balaa
Anachekesha mno
Anachekesha kupita kiasi. Sijawahi kucheka hivi siki za karibuni.
Miaka hii naona kama Wakorea wanazidi kuwapita Hollywood kwenye comedy movies. Wanajua kubalance tension (vitu serious au vinavyosikitisha) na comedic timing.
 
Anachekesha kupita kiasi. Sijawahi kucheka hivi siki za karibuni.
Miaka hii naona kama Wakorea wanazidi kuwapita Hollywood kwenye comedy movies. Wanajua kubalance tension (vitu serious au vinavyosikitisha) na comedic timing.
Na wameshawapita,mana mi hollywood hata mzuka wa kuwacheki sina!wakorea wako makini penye kulia utalia,penye huzuni utahuzunika haswa!
 
kwanini hii chicago imekushinda,
nadharia ya reincarnation inaboa au mtiririko wa hadithi yake unaruhusu kubonyesha next button mara kwa mara.
hii sababu ya pili nilipokuwa naiangalia imenihusu zaidi
Hiyo ya pili...yani ni kama nataka kitu halafu sikipati, sometimes ni Bora kuanza ukiwa huna expectation zozote
 
hii show nilikuwa naifuatilia , nimeangalia kwenye wikipedia bado hajatokezea msanii wa kuvunja rekodi ya ha hyun woo("Music Captain of Our Local") anayewakilisha bendi ya guckasten wanaoimba zaidi muziki wa rock ila ballad anaimba vizuri pamoja na OST.
muone hivyo hivyo na sura yake ya kitoto yenye miaka 39 ndani yake




View attachment 1852919

baadhi ya performance zake, hapa ilikuwa ni mashindano ya I am a singer 2 (mashindano yanayowakutanisha kwa pamoja malegendary wa muziki nchini korea)
Ni episode Ya ngapi ya huyu msanii
 
nitakuwa nawe milele katika shida na raha.....
hivi hii nukuu huwa haiwahusu walio kwenye mahusiano ya kimapenzi, nikiwa na maana ya kwamba hii nukuu inawahusu wale wanaofunga ndoa tu.

utafanya nini kama utagundua mwenzawako ana tatizo kubwa la kiafya au kasoro usiyoitarajia,
utaendelea kuwa naye au utamtelekeza na kwenda kwa mwengine aliyejaaliwa afya njema kama faru khadija
kuwa mkweli siku utakapoamua kunijibu.

je kuna ubaya kwa A kuchukua uamuzi wa kumkimbia B bila ya kumwambia pindi atakapojigundua ana tatizo fulani
View attachment 1851557
so sad and suspense sijui ik jun atareact vp kwa jun wan
 
ni mimi pekee ndiye ninayekutwa na changamoto hii?
baadhi ya episode ninazopakua kwenye mitandao (hususani mtandao wa kissasian) hazichezi video mpaka mwisho, nikiwa na maana ya kwamba dakika zinatembea lakini video haionyeshi wala kusikia chochote.
 
ni mimi pekee ndiye ninayekutwa na changamoto hii?
baadhi ya episode ninazopakua kwenye mitandao (hususani mtandao wa kissasian) hazichezi video mpaka mwisho, nikiwa na maana ya kwamba dakika zinatembea lakini video haionyeshi wala kusikia chochote.
kw upande wangu huwa inatokea kama haikumaliza ku download mpaka mwisho
 
kw upande wangu huwa inatokea kama haikumaliza ku download mpaka mwisho
kwangu video download zinakamilika
Nilianza kushuhudia tatizo hilo nilipokuwa nafuatilia jewel in the palace drama takribani miezi miwili nyuma, nilichukulia kama ni changamoto ya kawaida tu, niliamini kwa kuwa drama ni ya zamani sana hivyo upo uwezekano wa baadhi ya video zikawa na matatizo

cha kushangaza tatizo linaendelea kujitokeza mara kwa mara
 
mimi nadhani alimpenda zaidi Taek kuliko Jung-Hwan na upendo dhidi ya taek ulianza tokea siku ya kwanza walipokutana (udogoni kwao), si hivyo tu hata ukiangalia mwenendo wa matendo yake dhidi ya Taek yalionyesha heshima, utulivu pindi anapozungumza naye na ule unyenyekevu wa kisichana wenye aibu ndani yake kuliko anapokuwa na Jung Hwan (iwe kimazungumzo, kimatembezi au kimahitaji)

kwa kuangalia mlolongo wa makuaji yao naweza kusema kwa ufupi
Duk-Sun alimchukulia jung hwan kama ni rafiki jirani wa kiume kwa maisha yake yote ya utoto na mwanzo wa puberty stage kuliko mwanaume.

msamiati wa timing utumike baada ya kubaleghe kwake na hapo pia deok sun bado aliendelea kumpendelea Taek kuliko jung hwan aliyekuwa na kila kitu (kazi ya uhakika, familia yenye kipato, elimu, muonekano).

mfano angalia zawadi ya gloves, ni nani kati ya hao wawili aliyempelekea gloves sahihi alizozipenda (nafikiri mmoja wao alichelewa lakini bado alimpelekea zawadi sahihi), cha ajabu ikaheshimiwa na kuthaminiwa ya bwana yule
  1. kama nitakuwa sahihi deok sun aliogopa hata kumwambia taek ambebe mgongoni kwa kukhofia kumuumiza (khofu juu ya kile ukipendacho kishije kuharibika) lakini kwa jung hwan ilikuwa ni tofauti
  2. hakupenda kumuona Taek akinywa vinywaji vikali mfano wa pombe lakini kwa jung hwan ilikuwa ni tofauti
Inaitwaje hiyo drama?
 
kuna korean drama, halafu kuna masterpiece
nimebaki najiuliza hivi utakuja mwaka wenye project bora kama ulivyokuwa mwaka 2018.
nimeikumbuka hii drama muda huu ninaoperuzi youtube.

kama hujaiangalia hii drama hutoandikiwa thawabu na malaika wa korean drama haijalishi uwe umeangalia drama 200,
au nasema uongo ndugu zangu

my mister (my ahjussi) drama
View attachment 1851547
Inahusiana na nini? Tupe story fupi basi
 
Back
Top Bottom