Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usiwe na shaka. Hata mie nilishaipakua na nikaifuta ila baadae nikaipakua tena na kujishangaa kwann nimeirudia ila nilipoiangalia vizuri niliipenda mno

Au labda imeakisi kiasi flani cha maisha niliyoishi hasa hayo ya ujirani na kupitiana kwenda shule etc
Aah siliamini hili, kwamba ndio nzuri kuliko zote? Ngoja tuone

Kiukweli na mimi nipo kuzungumza na nafsi yangu kama niendelee au la. Hiki nilichotazama mpaka episode ya tatu sijui hata ni kitu gani...nnimepakua episode 6 nimeangalia tatu nina shaka hizi tatu zilizobaki sitaangalia
 
Kwa vile mnasisitiza ngoja nikomae
 
Waikiki imenikataa au labda story yake(ya kutelekezewa mtoto au kulea mtoto asie wao) nimeichoka mno wahindi waliigiiza funga kazi wabongo nao wakaidaka wakaharibu wanavyojua.

Nimejaribu kuipenda ikashindikana labda mbeleni itanikubali
Hata waikiki 2 kuna jamaa aliongea kiswahili na Bendera iliyoonyeshwa ni ya TZ
 
Waikiki imenikataa au labda story yake(ya kutelekezewa mtoto au kulea mtoto asie wao) nimeichoka mno wahindi waliigiiza funga kazi wabongo nao wakaidaka wakaharibu wanavyojua.

Nimejaribu kuipenda ikashindikana labda mbeleni itanikubali
Kama hujaipenda mwanzoni sidhani kama kuna kitu kitabadilika huko mbeleni ila ni nzuri mimi nilivyoona
 
Dramacool9 hio.

Ukishabonyeza drama unayoitaka inakuja unabonyeza episode husika kisha bonyeza pale chini kwenye neno download. Chagua server inayoitwa streamsb. Itakuja kama hivi,hapo unachagua quality
Kisha unaclick hayo maandishi ya blue yanakupeleka sehemu yenye link ya kudownload hapo huwa na chagua play online ikianza kuplay kitatokea kimshale cha kudownload naclick hapo inadownload bila kuhangaika na manamba namba kama heading. Wabahili wa mb tunachagua ka mb 131 na inakuja vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…