Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
  1. software/application ya kuzuia (block) matangazo
  2. jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download

Numbisa
talnam
missyrose
Great Conqueror
 
Now nimeelewa, Hii 2013 ndio iliyochezwa na Kim Jun. Basi walianza kunichanganyia hapo kwenye Google.
2013 ni zama ambazo pia Wakorea walikuwa vizuri sana, vipi kali kati ya 1999( Geumwa) au 2013 ya ( Kim Jun)
mpaka hapa nilipofikia episode 3 ya Hur jun 1999 drama naweza kusema kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha matukio ya drama hii na ile ya Hur jun 2013 drama
 
Siku hizi natumia kissiasian.li maana sh imepotea

Hii ipo kama kawaida ukifika hapo unachagua FE. Unaweza ukaiplya kwanza kisha uanze kudownload(kitufe huwa kinatokea baada ya kuplay video)
IMG_20210817_143703.jpg

Au dramacool9.co hapa ukishachagua dramaunaenda kuchagua episode husika inatokea video yake unaclick neno download unachagua server. Kwa upande wangu zinakubali hizo mbili za kati ila doodstream ina mb ndefu.
IMG_20210817_144030.jpg

Matangazo mpka nimeshayazoea ni ngumu kuyablock zaid ya kuyawah kabla hayajakupeleka eneo husika

kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
  1. software/application ya kuzuia (block) matangazo
  2. jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download

Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
 
Kati ya Korea Historical drama hizi ni miongoni mwa drama Kali
1: Jumong/Chumo
2:King gwangaeto
3:king geunchogo
4:king daejoyoung
5:king dream
6:Kim suro/soro
7:jeon wuchi
8:The land of wind
9😛rincess jamyoun go
10: Great Queen seundok
11:General gybaek
12:warrior bark do so
13:Iljimae
14:The return of iljimae
15:Faith
16:Great seer
17:scholar who walk night
18:king two face
19:GU family book
20:The rebel........
Izi ni baadhi ya drama nilizo ziangali wakorea kwa historical drama no wazuri
 
mpaka hapa nilipofikia episode 3 ya Hur jun 1999 drama naweza kusema kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha matukio ya drama hii na ile ya Hur jun 2013 drama
Okay, vipi kuhusu sanaa ya kuvaa uhusika kwa wahusika wakuu na wasaidizi, ipi imekuvutia zaidi
Kati ya Korea Historical drama hizi ni miongoni mwa drama Kali
1: Jumong/Chumo
2:King gwangaeto
3:king geunchogo
4:king daejoyoung
5:king dream
6:Kim suro/soro
7:jeon wuchi
8:The land of wind
9😛rincess jamyoun go
10: Great Queen seundok
11:General gybaek
12:warrior bark do so
13:Iljimae
14:The return of iljimae
15:Faith
16:Great seer
17:scholar who walk night
18:king two face
19:GU family book
20:The rebel........
Izi ni baadhi ya drama nilizo ziangali wakorea kwa historical drama no wazuri
Hapo nimemiss 17,20 & 18
 
kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
  1. software/application ya kuzuia (block) matangazo
  2. jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download

Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
Uc min browser,
Ukishafungua tafuta seheme ya settings nenda kwenye ad blocker activate strong ad blocker.
Kisha nenda kweny episode yako kama kissasian chagua sever FE, kwa Dramacool XVsever
 
kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
  1. software/application ya kuzuia (block) matangazo
  2. jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
pia kama kuna tovuti nyengine zaidi ya hiyo pia nitashukuru kama mutaniambatanishia, sharti iwe na kitufe cha download

Numbisa
aminas
talnam
missyrose
Great Conqueror
unque bin unuq
na wengineo.
Natumia dramanice.sh
Sehem ya kudownload inaonekana chini ya kitufe cha play

AdBlock naona Huwa inanionyesha tu kama nataka Kublock ads lakin Sina app yoyote, alafu saiv asianload hawaweki matangazo mengi kabla ya kupakua
 
Leo nilikuwa najikumbushia Vagabond, kiukweli hii series ni habari nyingine kabisa. Kwangu ndio series bora ya mjini kwenye genre ya Thriller & Action.
Kiukweli hili dude liko hot mwanzo hadi mwisho. Ni ukatili wanachokifanya bila kuleta mwendelezo wake. Hivi karibuni kama kuna series ya aina hii( Thriller and Action) ambayo iko hot( full mikiki) kama Vagabond au zaidi yake, weka list tuone.
 
Siku hizi natumia kissiasian.li maana sh imepotea
hata ukitumia domain (.sh) itakupeleka kwenye menu kuu ya tovuti
Hii ipo kama kawaida ukifika hapo unachagua FE. Unaweza ukaiplya kwanza kisha uanze kudownload
ok niliona ahsante sana,
changamoto iliopo ni kukosekana kwa video quality 360 kwa hizi drama za karibuni kwenye server ya FE.
nimeona ni bora nistream kwa kutumia server ya P2P au BETA kwa sababu inanipa quality ya 360.
bajeti ya bando ni muhimu, juzi nusura tuangushiwe tena chuma kizito.
 
Zigo la juzi lilikua tozo ya vocha ila limehairishwa kwa muda,tukisahau majanga tuliyonayo litarudishwa
hata ukitumia domain (.sh) itakupeleka kwenye menu kuu ya tovuti

ok niliona ahsante sana,
changamoto iliopo ni kukosekana kwa video quality 360 kwa hizi drama za karibuni kwenye server ya FE.
nimeona ni bora nistream kwa kutumia server ya P2P au BETA kwa sababu inanipa quality ya 360.
bajeti ya bando ni muhimu, juzi nusura tuangushiwe tena chuma kizito.
 
Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.

Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge
Msaada sio mpaka hela ni muhimu sisi binadamu kusaidiana so naomba msaada kwenye hilo
 
Naipenda hospital playlist had sitaman iishe...
Nimeanza the road: tragedy one, wasanii wakubwa wakubwa Ila sielewi inaenda Kasi kama law school [emoji1787]

Nevertheless nayo mnh
Any recommendations? Wakati nasubiri hometown cha cha cha
 
Back
Top Bottom