Mbona unaongea vitu vingine ambavyo ni nje ya content alafu mimi siwezi kuchamba kabisa na siwezi kufanya huo upuuzi ila ninapenda kupinga kitu kwa hoja, hakuna haja ya kuwekeana kinyongo au uhasama mbona binafsi nikiwa nimepata drama nzuri na share humu humu na nyinyi kazi inabaki kwa muhusika either kuikubali au la!Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.
Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge