Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bora kusaidia wengine sio wewe hauchelewi kujaza masimango kwa kisingizio cha taste zako haziendani na drama husika.

Oppss nilikuwekaga ignore list enzi za uchawa kabla baba levo hajakupindua kwenye cheo kule wachafu koge
Mbona unaongea vitu vingine ambavyo ni nje ya content alafu mimi siwezi kuchamba kabisa na siwezi kufanya huo upuuzi ila ninapenda kupinga kitu kwa hoja, hakuna haja ya kuwekeana kinyongo au uhasama mbona binafsi nikiwa nimepata drama nzuri na share humu humu na nyinyi kazi inabaki kwa muhusika either kuikubali au la!
 
hiyo utaipata bongo movies pekee kwa sababu ndipo wanapopatikana waandishi magwiji wenye uwezo wa kuegemea pande zote tajwa ndani ya project moja.

jaribu hizi (mjukuu wangu wa zamani)
  1. iris 1 and iris 2
  2. Athena goddess of war
  3. healer
  4. mouse
  5. yongpal
  6. flower of evil
  7. lawless lawyer
Asante mkuu hiyo ya 5 na 7 nitazitafuta hizo zingine zote nimeziona.
 
Mi pia nilikuwa sitizami ila siku hizi natizama ili nione je mwendo nauweza? Mfano Mouse nilipoona ile genre tu nikaachana nayo
missyrose mimi na wewe hatuna tattizo nashangaa unaniponda kiasi hicho? Anyway naomba unipe drama yenye maudhui ya Romance iwe ni Kali sio comedy ipo seriously na yenye story inayovutia please maana nimeona genre ya suspense, romance na thriller kwa pamoja file huna.
 
Hospital nimeivuta hadi episode ya 8 ila sijaiangalia nasubiria iishe niiangalie yote. Nipo napambana na the myth(ngumu nafuu ya law school ila kwa ubahili wa mb nimejikuta naipenda maana ntamaliza wiki mbili naiangalia yenyewe tu bila kwenda kutafuta drama nyingine[emoji23][emoji23])

The myth inanitendea mbaya leading actor na actress nimewapenda ila story ngumu. Nikianza kuangalia tu naboreka na hapo hapo nakumbuka kazi ambayo sijaifanya naiweka kando naenda kushughulika nikirudi ni mwendo huo huo mpaka nitaimaliza bila kufoward.

Nimemaliza my roomate is gumiho kwa upande wangu haina mzuka. Hivyo watakuja wa kukupa nzuri zaidi
Asante naona hiyo the myth balaa lake kama la the road... Nitaivuta
 
missyrose mimi na wewe hatuna tattizo nashangaa unaniponda kiasi hicho? Anyway naomba unipe drama yenye maudhui ya Romance iwe ni Kali sio comedy ipo seriously na yenye story inayovutia please maana nimeona genre ya suspense, romance na thriller kwa pamoja file huna.
Recently sijaangalia drama mpya bado nipo najikokota na Six Flying dragons..nikimaliza naangalia Oh My Lady lord.

Nilizotazama I'm sure karibu zote utakuwa umeangalia boss
 
Hospital nimeivuta hadi episode ya 8 ila sijaiangalia nasubiria iishe niiangalie yote. Nipo napambana na the myth(ngumu nafuu ya law school ila kwa ubahili wa mb nimejikuta naipenda maana ntamaliza wiki mbili naiangalia yenyewe tu bila kwenda kutafuta drama nyingine[emoji23][emoji23])

The myth inanitendea mbaya leading actor na actress nimewapenda ila story ngumu. Nikianza kuangalia tu naboreka na hapo hapo nakumbuka kazi ambayo sijaifanya naiweka kando naenda kushughulika nikirudi ni mwendo huo huo mpaka nitaimaliza bila kufoward.

Nimemaliza my roomate is gumiho kwa upande wangu haina mzuka. Hivyo watakuja wa kukupa nzuri zaidi
Hii the myth ndio kuna Park Shin Hye?
 
Back
Top Bottom