Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
😂😂😂😂usiwe na shaka. Hata mie nilishaipakua na nikaifuta ila baadae nikaipakua tena na kujishangaa kwann nimeirudia ila nilipoiangalia vizuri niliipenda mno
Au labda imeakisi kiasi flani cha maisha niliyoishi hasa hayo ya ujirani na kupitiana kwenda shule etc
Au labda imeakisi kiasi flani cha maisha niliyoishi hasa hayo ya ujirani na kupitiana kwenda shule etc
Aah siliamini hili, kwamba ndio nzuri kuliko zote? Ngoja tuone
Kiukweli na mimi nipo kuzungumza na nafsi yangu kama niendelee au la. Hiki nilichotazama mpaka episode ya tatu sijui hata ni kitu gani...nnimepakua episode 6 nimeangalia tatu nina shaka hizi tatu zilizobaki sitaangalia