Hahaha ni mimi mkuu sema unaniona mstaarabu kwa kuwa sina muda wa kugombana na mtu...waakorea wananiweka bize sana.Khantwe hiyo avatar yako kuna muda huwa nahisi ni wewe,ila nikijaribu kuilinganisha na jinsi ulivyo mstaarabu kwenye hilo jukwaa naishia kucheka tu😂.
Asante mkuu,nitaiangalia.
Ndio wanayo gb 10 kwa 1500Hivi night pack ya Airtel iko poa? TTCL leo wananzingua
Airtel wana night pack? Inapatikana wapi?
Alaa kumbe...ila network yao unaweza kulia...menu yake ni ipi?Kwa upande wangu ipo poa sana. Ndo huwa naitumia
Ndio wanayo gb 10 kwa 1500
Alaa kumbe...ila network yao unaweza kulia...menu yake ni ipi?
Hapana sio..ni romance flani hivi njema sana.HiI sio fantasy?
Hahaha ni wewe? Mr alikukosea nini wakati wa wedding? Hilo jicho ulilomkata sio poa😂.Hahaha ni mimi mkuu sema unaniona mstaarabu kwa kuwa sina muda wa kugombana na mtu...waakorea wananiweka bize sana.
Usisahau mrejesho
Nakutania bwanaHahaha ni wewe? Mr alikukosea nini wakati wa wedding? Hilo jicho ulilomkata sio poa😂.
Ntakuletea mrejesho 👊🏿.
Ipo 1500 GB 10 tena iko fasta kuliko ttclAirtel wana night pack? Inapatikana wapi?
Yan iko poa sana hapa nimeshusha package ya kutosha wikiKwa upande wangu ipo poa sana. Ndo huwa naitumia
Ndio wanayo gb 10 kwa 1500
Ipo 1500 GB 10 tena iko fasta kuliko ttcl
*148*88#>3>6(night pack
Yan ttcl 1000 napata GB 4 alafu had morning unaweza kuta hujaimaliza kisa network
Nitaijaribu nioneIpo 1500 GB 10 tena iko fasta kuliko ttcl
*148*88#>3>6(night pack
Yan ttcl 1000 napata GB 4 alafu had morning unaweza kuta hujaimaliza kisa network
Mimi mwenyewe nilifurahi kwa kweliCoffee prince,nilipoona wanaitaja Tanzania nilifurahi kimya kimya wapo vizuri
Au kwenye it's okay not to be okay walisema waende vacay Serengeti...kale ka feeling [emoji16]Coffee prince,nilipoona wanaitaja Tanzania nilifurahi kimya kimya wapo vizuri
Inahusiana na niniDevil judge iko🔥🔥🔥🔥
Ikiisha uniambie...siangalii ongoing mimiDevil judge iko🔥🔥🔥🔥
Hii ishaishaIkiisha uniambie...siangalii ongoing mimi
Inahusiana na nini