Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hahaha ni mimi mkuu sema unaniona mstaarabu kwa kuwa sina muda wa kugombana na mtu...waakorea wananiweka bize sana.Khantwe hiyo avatar yako kuna muda huwa nahisi ni wewe,ila nikijaribu kuilinganisha na jinsi ulivyo mstaarabu kwenye hilo jukwaa naishia kucheka tu😂.
Asante mkuu,nitaiangalia.
Usisahau mrejesho