Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

wengi wetu tunatumia tovuti zilizozoeleka kimatumizi ya kuangalia sanaa za Asia.
quality ya video, dakika na muda wa kuwekwa kwake ndio unadetermine ukubwa wa file (MB).

zipo baadhi ya project utazipata kwa MB100-200 kwa kila episode na zipo nyenginezo (nyingi) file linabeba MB 200 kwenda juu.
labda mtafute Numbisa nakumbuka aliwahi kushare application au tovuti inayosupport korean drama kwa MB chache
 
ndio, si walikuwa ni watoto wa royal family ndio wanaoruhusiwa kujiunga na hwarang.
ndio boys over flowers (mabishoo) wa nyakati hizo.
go joon pyo na demu wake geum jan di
Hahaha ni kweli ila
Lakini hapo nadhani ni noble families maana ukiongelea royal family walikuwa ni wale tu wawili na hata wakati wa kujiunga walikuwa hawajulikani kuwa ni member wa royal family
 
Kuna baadhi ya server za dramacool zina mb chache sema nazo mpaka uibahatishe.

Application ya dramania sijui ilifia wapi nishaisahau ilikua na virus
 
Jung Ryeo Won a.k.a Princess Jamyunggo. Huyu binti alinikosha kwenye lile dude la Princess jamyunggo, ingawa ni series nzuri sana ila inafurahisha, inastajabisha kwa yule mjinga aliyeuza nchi kisa mapenzi, lakini inahuzunisha sana.
Huyu ndie mkorea muiguzaji pekee niliyemfolo huko IG
 
Now yuko nafasi ya 23
 
I think so, ila ni ngumu sana. Tennis ni mchezo mgumu sana tofauti na vile unaona unavyo chezwa. Inabidi uwe vizuri ki mwili na kiakili, hapo ukipoteza kimoja tu kwisha habari yako. Emma bado ni mdogo sana aendelee tu kupambana In Shaa Allah anaweza kufika hatua hizo. Bahati mbaya ama nzuri michuano hii ya Gland Slam kwa wanawake imekuwa wakibadilishana tofauti na kwa wanaume ambapo kule kuna miamba watatu Djokovic, Nadal na Federer. Hao kwa miaka mingi wamekuwa wakipokezana wao tu utadhani mashindano ni yao pekee yao, ila kwa mwaka 2020 na 2021 wameambulia mikono mitupu.

Emma atafika mbali kama akituliza akili kwenye Tennis, maana hawa wenzetu kidogo tu utasikia ana msongo wa mawazo. Hiyo kitu imemfanya Naomi Osaka apotee kabisa wakati dogo alikuwa anakuja vizuri sana. Kitu kingine ni majeraha , majeraha ndio hatari kabisa. Del Potro huyo mwamba majeruhi yalimtoa kwenye ramani ya mchezo wa Tennis toka mwaka 2019 mpaka leo japo kuna taarifa anaweza kurudi mwaka kesho mwanzoni. Kuna m South Africa anaitwa Anderson Kevin huyo mwamba amewahi kuwa kwenye nafasi ya 6 kwa ubora duniani miaka ya 2018 mpak 19 akaja pata majeha now yuko 68 huko. Nadal na Federer majeha ndio yamewafanya wasishiriki katika mashindano ya mwaka huu, Andy Murray hakuna asiye mjua kwe mchezo wa Tennis ila majeruhi yalimpoteza ni hatari. Federer naye kaanza kupotezwa mdogo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…