DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
wengi wetu tunatumia tovuti zilizozoeleka kimatumizi ya kuangalia sanaa za Asia.Hizi k drama na movies ni wapi nitazipata zenye small size kama kwenye TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - MobileTVshows
Hapo unapata series za Hollywood kwa small size kuangalizia kwenye tablets au simu
Wastani mb 100 - 200 kwa episode
Asanteni mkinipa muongozo
quality ya video, dakika na muda wa kuwekwa kwake ndio unadetermine ukubwa wa file (MB).
zipo baadhi ya project utazipata kwa MB100-200 kwa kila episode na zipo nyenginezo (nyingi) file linabeba MB 200 kwenda juu.
labda mtafute Numbisa nakumbuka aliwahi kushare application au tovuti inayosupport korean drama kwa MB chache