mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Iko kwenye website karibu zote zilizoorodheshwa humu km kissasian.com imeandikwa "The Immortal Yi Soon Shin"mkuu nategemea kuianza leo usiku iyo drama ila nimekereka sana nimekwenda kwenye maduka ya cd wanayo mpaka episode ya 40 wakati ina episode 105, je ninaweza kuipata kwenye website gani, tafadhali nisaidie,isitoshe tayari nishaifahamu stori nzima ya vita vya IMJIN WAR kwa hivyo basi itakuwa rahisi sana kuifatilia.naamini waziri wangu wa vita na supreme commander ryu seong ryung hatoniangusha, vipi kuhusu timbwili la mfalme hideyoshi,kato,ukita.pia nimegundua ya kwamba huyu jamaa aliyeigiza kama yi soo shin mkubwa ndio yule aliyecheza kama jung do jeon (sambong) kwenye six fly dragons,anaitwa kim yung min,nimeshangaa eti amepitwa na song il kook kwa mwaka 1,amezaliwa 1972,lakini bado song il kook ni mtanashati.
![]()